THE AMAZON COLLEGE (T) LTD

WESTERN TRAINING COLLEGE

P.o.Box 55832, Contact: Office. 0719-925165/0743-999609 Director 0655-030050/ 0755-030050

DAR ES SALAAM-TANZANIA

FOMU YA MAELEZO YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UTALII / TOURISM MANAGEMENT 2023

JINA LA MWANAFUNZI/MUOMBAJI…………………………………………

KOZI UNAYOOMBA_______________________________________

Chuo cha Western Training college Campus ya kariakoo,Kinacho milikiwa wa The Amazon Colleges(T)Limitedni Chuo kilichosajiliwa na mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi (NACTVET)kutoa mafunzo ya UTALII TOURISM ,SECRETARIAL STUDIES  NA COMPUTER APPLICATIONS. Chuo kipo ndani ya jengo la CCM Mkoa wa Dar es salaam ghorofa ya nane(8)  Kariakoo mtaa wa Lumumba.

Chuo cha Western Training college Campus ya kariakoo,Kinacho milikiwa wa The Amazon Colleges (T)Limitedinakukaribisha sana kujiunga na kozi ya utalii (Tourism) sekta hii inakuwa kwa kasi kubwa hapa nchini, ni sekta inayo ajiri vijana wengi.

Malengo yetu CHUO CHA WESTERN  ni kutoa mafunzo kwa ubora wa hali ya juu hivyo kuwawezesha wahitimu wetu kunufaika na fursa za ajira katika sekta hii inayokuwa kwa kasi hapa nchini.

Tunaamini mafanikio hayo yanawezekana hata kwako pia ikiwa utachagua kujiunga na chuo chetu katika kozi ya Utalii (Tourism management) au nyinginezo.

Mazingira ya chuo.

Chuo chetu kipo kwenye mazingira tulivu, madarasa makubwa yenye mwanga na hewa safi. Ni mazingira bora ya kujifunzia. Tunao walimu wenye taaluma ya kutosha kumuelisha na wenye kiu ya mafanikio ya wanafunzi wao.

Faida ya kujiunga na kozi ya Tourism Management (Utalii)

 • Mwanachuo atapata offer ya kusoma kozi ya kiingereza na computer program tatu bure.
 • Utalipa ada kidogo kidogo kila mwezi kwa utaratibu utakaopewa hapa chuoni
 • AJIRA ya UHAKIKA: Wahitimu wetu wamekuwa wakifanya vizuri katika soko la AJIRA hivyo kuacha sifa nzuri kila wanapo pita katika,kampuni na taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na maswala haya ya Utalii.
 • Sekta ya Utalii ni pana sana hivyo kupitia maarifa na ujuzi atakaopata chuoni  mhitimu ana uwezo mkubwa wa kufanya kazi ndani
Sahihi ya mwanafunzi: _______________________ 
 • Kupitia fani hii mhitimu atapata fursa ya kufanya kazi kwenye hoteli za kitalii za ndani au nje ya nchi yetu.
 • Kupitia fani hii mhitimu anapata fursa ya kukutana na watu mbalimbali hata wale wa mataifa mengine, hivyo kumuongezea kujiamini zaidi.
 • Mwanafunzi atafanya mafunzo kwa vitendo (field) popote atakapochagua kati ya Arusha auDar es salaam.

TOURISM MANAGEMENT.MIHULA  YA MASOMO KWA MWAKA 2023.

MUHULA WA 1MUHULA WA 3MUHULA WA NNE
09 JAN,202308 MAY,202311  SEPT 2023

1.Certificate in TOURISM  MANAGEMENT09 months (Miezi tisa)

Miezi sita(6)Darasani.

Miezi Mitatu (3) ya mwisho field

1.Tourism Management

2.Tour Guide

3.Tour Operator

4.Customer  Care.

5.Wild Life.

ADA  NA MALIPO MENGINEYO

Ada ya masomo Tzs 800,000/= Laki nane tuu.

UTARATIBU     WA   KULIPA   ADA:

N/AMAELEZOMALIPO
01KIANZIO/MWEZI WA KUANZA MASOMO 
             Ada/Tuition FeeTZS 100,000/=
 Application  FeeTZS 20,000/=
 T- shirt         TZS 87,000/=
 Kitambulisho cha Mwanafunzi
              Shati  pc 1
              Kizibao na Neck Tai  pc 1
          Sketi  au  suruali  pc1
 JUMLA YA MALIPO YA MWEZI WA KUANZA MASOMOTZS 207,000/=
02.Mwezi wa pili wa Masomo    TZS 140,000/=
03Mwezi wa Tatu wa Masomo TZS 140,000/=
04Mwezi wa Nne wa Masomo  TZS 140,000/=
05Mwezi wa Tano wa MasomoTZS 140,000/=
06Mwezi wa Sita wa Masomo na wa Mwisho kabla ya Mitihani ya Mock/Semister  TZS 140,000/=
 JUMLA  KUUTZS 907,000/=

NB:Wanafunzi wa kike wanaruhusiwa kuvaa Suruali au Sketi,

Sahihi ya mwanafunzi: _______________________

Sahihi ya mwanafunzi: _______________________ 

 

MAFUNZO  KAZINI/FIELD TRAINING NA GHARAMA ZAKE.

Baada ya Miezi sita ya Masomo darasani Mwanafunzi atatakiwa kuenda kwenye Mafunzo Kazini/Field Training kwa kipindi cha miezi Mitatu (3).

Gharama za mafunzo hayo zitakuwa ni za mwanafunzi mwenyewe, gharama hizo zinahusisha Nauli ya kwenda sehemu husika,Gharama za hostel na chakula na mahitaji mengineyo kwa kipindi chote cha Field.

SHERIA NA TARATIBU AMBAZO MWANAFUNZI  UNAPASWA KUZINGATIA

 • Kila mwanafunzi ni lazima awe na kitambulisho cha shule na avae shingoni muda wote, Ikiwa mwanafunzi amepoteza kitambulisho atapaswa kutoa taarifa kituo cha polisikisha alipie shuleni Tsh.10,000/= ili apatiwe kingine.
 • Mwanafunzi unapaswa kuzingatia taratibu za uvaaji wa sare za chuo kama ulivyoelekezwa vinginevyo hutoruhusiwa kuingia darasani.
 

Wanafunzi wanaovaa hijabu, hawaruhusiwi kuvaaa hijabu za rangi nyingine tofauti na nyeupe

 • Mwanafunzi haruhusiwi kuvaa kilemba au kofia kichwani, ikiwa unayo sababu maalum ya kufanya hivyo unapaswa kuomba kibali kwa mkuu wa chuo.
 • Mwanafunzi haruhusiwi kutumia vileo mf. Pombe, uvutaji wa sigara au bangi n.k uwapo chuoni au katika mazingira ya chuo.Ukibainika utasimamishwa masomo moja kwa moja
 • Mwanafunzi hakikisha unahudhuria vipindi vyote vya darasani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa na unazingatia muda kwa kipindi chote cha masomo
 • Mwanafunzi unapaswa kulipa ada kupitia benki kwa akaunti ya chuo utakayopewa na mhasibu hapa ofisini na si vinginevyo
 •  Mwanafunzi hakikisha unapewa risiti kwa malipo yote utakayofanya chuoni. Kama umefanya malipo na hukupewa risiti unawajibu wa kuidai.
 • Mwanafunzi unapaswa kuzingatia utaratibu wa kulipa ada kidogo kidogo (kupunguza kila mwezi) kama ulivyoelekezwa ofisini.
 • Mwanafunzi atakayeshindwa kulipa ada kwa utaratibu wa kupunguza kila mwezi uliowekwa na chuo atasimamishwa masomo mara moja.
 • Mwanafunzi zingatia kutunza risiti zako za malipo ya ada ni muhimu mpaka utakapohitimu na kutunukiwa cheti.
 • Mwanafunzi unapaswa kukamilisha malipo yako ya ada kabla ya kufanya  mitihani yako ya mwisho.

Sahihi ya mwanafunzi: _______________________

Sahihi ya mwanafunzi: _______________________ 
 • Ni lazima kila mwanafunzi afanye mazoezi yote atakayopewa na mwalimu darasani, pamoja na mitihani yote itakayotolewa na shule.
 • Mwanafunzi haruhusiwi kuchukua kitu au mali isiyoyake (kuiba),ikibainika hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kusimamishwa masomo.
 • Mahusiano ya kimapenzi kati yamwanafunzi na Mwanafunzi au mwanafunzi na mwalimu au na mfanyakazi yeyote wa shule ni marufuku kabisa
 • Mwanafunzi atakayeghairisha masomo baada ya kulipa ada na kabla ya masomo kuanza atarudishiwa asilimia hamsini (50%) ya ada aliyolipa.  (gharama za fomu ya kujiunga hazitarudishwa) Endapo utaamua kusitisha baada ya kuanza masomo ada haitarudishwa kwa namna yoyote.
 • Ni lazima mwanafunzi atii na kufuata sheria zote zilizoorodheshwa hapo juu na zile nyingine utakazoendelea kupewa pindi awapo chuoni.

Baada ya kuhitimu hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya kupita miezi miwili baada ya hapo

kutakuwa na TOZO kwa kuchelewa kuchukua cheti.

Kiapo  cha mwanafunzi

Mimi ————————————————— nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa katika fomu hii  na kwa ridhaa yangu  nimeamua kwa dhati kujiunga na masomo kwa kozi ya Utalii (Tourism management ) na kwamba niko tayari kufuata na kutii taratibu zote za chuo pamoja na  kulipa Ada na michango mingine  kama ilivyo elekezwa

———————————-                                                                  —————————–

Saini                                                                                                                            Tarehe

Kiapo  cha Mzazi/ Mlezi au Mdhamini.

Mimi————————————————-Mzazi/Mlezi /Mdhamini  wa mwanafunzi mtajwa hapo juu nina ahidi kulipa Ada na michango mingine ya chuo kama ilivyo elekezo na itakavyo elekezwa na uongozi wa chuo pamoja na kushirikiana na chuo katika malezi ya mwanafunzi kwa kipindi chote atakacho kuwa chuoni.

Saini————————————————–   Tarehe———————————

       (kwa matumizi ya ofisi)                                                                          

Jina la mpokeaji form ( mkuu wa chuo)au kwa niaba

Jina ————————————- Saini   ———————-   Tarehe ——————-

Other important costs

 • College ID Tshs. 10,000 / = (paid before starting studies)
 • T-shirt Tshs. 15,000 / = (paid before starting studies)
 • Enrollment forms for all courses are only ten thousand shillings (20,000 / =).
 • For more information get to the office or call our branches at the following telephone numbers:
 • Tegeta kibaoni, we are in a building near PETRO petrol station phone number 0766 097 249 or 0657 373 732
 • Ukonga Banana building with CRDB bank first floor phone number 0754 930 949 or 0719 707 798
 • Mbagala rangitatu building with ACB bank on the second floor we are facing the daladala mbagala rangitatu station phone number 0767974 377 or 0675 388 185
 • Magomeni kagera opposite Oil-com fuel station second floor phone number 0769 410 073 or 0719 925 164
 • Mbezi luis follow the road leading to makabe you will see our poster phone number 0755 227 925 or 0676 866 833
 • Kariakoo Lumumba building CCM Dar es salaam region eighth floor (8) phone number 0753 999 609 or 0719 925 165