THE AMAZON DRIVING SCHOOL
CAMPUS YA MBEZI LUIS
P.o.Box 55832, Contact: Office. 0676-866833 /0755-227925 Director 0655-030050/ 0755-030050
DAR ES SALAAM-TANZANIA
FOMU YA MAELEZO YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UDEREVA (BASIC DRIVING COURSE) 2023.
JINA LA MWOMBAJI/MWANAFUNZI…………………………………………..
The Amazon driving school Mbagala Rangi Tatu registered with the Ministry of Home Affairs through the Tanzania Police Force Road Safety Corps headquarters
The Amazon Driving School We are very happy to welcome you to the best basic driving training (Basic Driving).
The Amazon Driving School has various goals in common and ensures we provide the highest level of training and ultimately provide the highest quality drivers
COLLEGE ENVIRONMENT.Our school is in a quiet environment, large classrooms with light and fresh air. Our classrooms have high quality pictures and good looks. It is a better and safer environment for learning.
BENEFITS TO JOINING THE AMAZON DRIVING SCHOOL
- After completing your studies and passing college examinations and certification you will be required to pay a GRR for a police examination where you will be able to pay for your license.
- Our cars are in good (new) condition and are “manual”.
- Skilled and competent teachers who are willing to make you aware of driving and all road procedures
- Our fees are much cheaper compared to the services you will receive.
- You will learn about classroom theory and actions on the road
- You will be enabled to obtain a license immediately after graduation by contacting the relevant institutions.
- The student is allowed to report to the director as soon as you are satisfied with the service you receive at the college. (Phone numbers are on the college bulletin boards)
MCHANGANUO WA KOZI NA GHARAMA ZAKE
Kozi | Aina ya Leseni | Muda | Ada TZS | Fomu | Jumla | |
1 | Driving course/Mafunzo ya Udereva. | B na D | Wiki 4 | 250,000/= | 10,000/= | 260,000/= |
2 | Special Driving course- (Mafunzo Maalum kwa wanaye penda kufundishwa peke yake kwa kufuata ratiba yake) . Pia mwanafunzi anaweza kufuatwa nyumbani au Ofisini na Mafunzo yakatolewa hukohuko bila kulazimika kufika shuleni (TUTAKUHUDUMIA PALE ULIPO). Siku za Masomo ni Jumatatu hadi Jumamosi. Tutakusaidia kupata Leseni ya kujifunzia (Leaning License) Ghrama ya LENA ni TZS 20,000/= | B na D | Wiki 4 | 400,000/= | 10,000/= | 410,000/= |
3 | Special Driving course- Weekend program. (Mafunzo Maalum kwa siku za Jumamosi na Jumapili tu). Mwanafunzi atafundishwa siku ya jumamosi na jumapili au siku yoyote isiyo ya kazi pia atatumia saa nyingi zaidi kujifunza kwa siku. Hapa wanafunzi wanaweza kuwa zaidi ya Mmoja(Group Leaning) Tutakusaidia kupata Leseni ya kujifunzia (Leaning License) Ghrama ya LENA ni TZS 20,000/= | B na D | Siku 10 | 320,000/= | 10,000/= | 330,000/= |
4 | Kozi Maalumu ya Udereva, kwa Madereva Wenye Leseni yenye miaka isiyopungua Miwili(2) na, Hakuhudhuria Mafunzo shuleni/Chuoni au anahitaji kuongeza uzoefu wa kuendesha gari na Sheria na Alama za Barabarani kwa ujumla baada ya kutoendesha kwa muda mrefu. Kozi hii itachua Muda wa Wiki Moja (Siku Sita 6) tu, CHETI Kitatolewa baada ya kuhitimu. | A,A1,A2,,A3,B na D | Siku 6 | 140,000/= | 10,000/= | 150,000/= |
- Kitabu,chati ya alama za barabarani na T.shirt(form six) vitatolewa buree
- Ada yote ilipwe mapema kabla ya kuanza masoma.
BAADA ya kulipa Ada utapewa Stakabadhi Risiti ya malipo na Utapewa maelekezo ya namna ya kwenda kulipia na kuchukua Leseni ya kujifunzia LEANING LICENSE (LEANER) Leseni hiyo inatolewa na mamlaka ya Mapato TRA.
UPATIKANAJI WA LESENI BAADA YA KUHITIMU MAFUNZO.
Baada ya kuhitimu mafunzo na kutunukiwa cheti,Utapelekwa Test Kufanyiwa majaribio kuona kama umekidhi vigezo vya kupewa leseni ya Daraja husika.
Zoezi hilo la Test litasimamiwa na JESHI LA POLISI Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni Kituo cha Oyster bay.
Hivyo baada ya kufuzu utapewa kibali cha kulipia leseni yako ambayo kwa sasa ni Tzs 70,000/=
BAADHI YA SIFA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UDEREVA.
1.Uwe na Umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea.
2.Uwe na kitambulisho cha taifa (NIDA)
3.Uwe na akili timamu.
4.Uwe na uoni mzuri.
MWANAFUNZI UNAPASWA KUZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU.
- Mwanafunzi unapaswa kuwa na leseni ya kujifunzia (learning driving licence) inayotolewa na na TRA kabla ya kuanza mafunzo.
- Mwanafunzi hakikisha unapewa risiti kwa malipo yote utakayofanya chuoni. Kama umefanya malipo na hukupewa risiti una wajibu wa kudai.
- Ada ikishalipwa haitarudishwa kwa namna nyingine yoyote isipo kuwa pale itakapothibitika kuwa mtoa huduma ameshindwa kutoa huduma kwa utaratibu ulioelekezwa.
- Mwanafunzi hakikisha umepewa kitabu na T-shirt mara baada ya kulipia na kabla ya kuanza mafunzo.
- Mwanafunzi hakikisha unasaini fomu ya mahudhurio kila siku tangu unapoanza mpaka siku utakayomaliza. .
- Ni wajibu wa mwanafunzi kuhakikisha anatenga muda wa kuhudhuria mafunzo mfululizo kwa wiki nne bila kukosa nadharia na vitendo, utaratibu wa kufidia au kuongeza siku kwa mwanafunzi asiye hudhuria mafunzo haupo kabisa.
- Mwanafunzi zingatia tarehe uliyoanza mafunzo ndio tarehe utakayoenda kumaliza mwezi utakaofuata. Hivyo unashauriwa kuzingatia ratiba yako ya mahudhurio.
- Mwanafunzi zingatia muda wa kujifunza barabarani ni nusu saa (dakika 30) kwa kila mtu mmoja.
- Baada ya kumaliza mafunzo ya wiki nne, mwanachuo utafanya mtihani wa nadharia na vitendo ukifaulu kwa A,B na C utapata cheti, na taratibu za kupata leseni zitaendelea.
- Mwanafunzi atakayepata alama D na F atakuwa amefeli mitihani hivyo atakuwa amekosa sifa ya kupata cheti na atashauriwa kurudia mitihani yake kwa utaratibu atakaolekezwa.
Sahihi ya mwanafunzi: _______________________ |
- Mwanafunzi hakikisha unahudhuria vipindi vyote vya darasani kila siku ya jumamosi, vinginevyo utakosa sifa ya kufanya mitihani.
- Mwanafunzi huruhusiwi kutumia kilevi chochote uwapo chuoni/mafunzoni endapo utabainika hautaruhusiwa kupata mafunzo kwa siku hiyo.
- Tunza risiti zako za malipo ya ada hadi upate cheti.
- Cheti cha kuhitimu na kufuzu mafunzo kitatolewa mapema ndani ya siku saba ( 7) baada ya kufanya mitihani yako ya mwisho. Hivyo hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya miezi miwili kupita, baada ya hapo kutakuwa naTozokwa kuchelewa kuchukuwa cheti naTozo itazidi kukua/ kuongezeka kadri muda unavyopita.
TAHADHARI: Mwanafunzi unatakiwa kuzingatia taratibu zote zilizoelekezwa hapo juu ikiwemo za upatikanaji wa leseni. Usikubali kutoa pesa kwa mtu yeyote kwa lengo la kukutafutia leseni kinyume na utaratibu ulioelekezwa hapo juu.
Baada ya kuhitimu hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya kupita miezi miwili baada ya hapo kutakuwa na TOZO kwa kuchelewa kuchukua cheti.
KIAPO CHA MWANAFUNZI.
Mimi ————————————————— nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nimeamua kwa dhati kujiunga na masomo kwa kozi ya Udereva (Driving Course) kwa
———————————- .0 ———————————-
Sahihi Tarehe
KIAPO CHA MZAZI/ MLEZI.
Mimi —————————————————Mzazi /Mlezi wa……………………………… nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nina ahidi kutekeleza wajibu wangu wa kulipa Ada kwa kuzingatia mwongozo uliotolewa katika fomu hii.
———————————- ———————————-
Sahihi Tarehe
(kwa matumizi ya ofisi)
Jina la mpokeaji form ( mkuu wa chuo)au kwa niaba
Jina ——————————————- Sahihi —————————— Tarehe ———-
Other important costs
- College ID Tshs. 10,000 / = (paid before starting studies)
- T-shirt Tshs. 15,000 / = (paid before starting studies)
- Enrollment forms for all courses are only ten thousand shillings (20,000 / =).
- For more information get to the office or call our branches at the following telephone numbers:
- Tegeta kibaoni, we are in a building near PETRO petrol station phone number 0766 097 249 or 0657 373 732
- Ukonga Banana building with CRDB bank first floor phone number 0754 930 949 or 0719 707 798
- Mbagala rangitatu building with ACB bank on the second floor we are facing the daladala mbagala rangitatu station phone number 0767974 377 or 0675 388 185
- Magomeni kagera opposite Oil-com fuel station second floor phone number 0769 410 073 or 0719 925 164
- Mbezi luis follow the road leading to makabe you will see our poster phone number 0755 227 925 or 0676 866 833
- Kariakoo Lumumba building CCM Dar es salaam region eighth floor (8) phone number 0753 999 609 or 0719 925 165