THE AMAZON COLLEGE (T) LTD
(CAMPUS YA THE GREEN INTERNATIONAL COLLEGE)
MAKUMBUSHO STANDI
P.o.Box 55832, Contact: Office. 0719-925164 /0769-410073 Director 0655-030050/ 0755-030050
DAR ES SALAAM-TANZANIA
FOMU YA MAELEZO YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA COMPUTER 2023
(LIPA ADA KIDOGO KIDOGO KILA PROGRAM).
NAME OF APPLICANT / STUDENT………………………………………………
Chuo cha The Amazon College- Campus ya The Green International , Kimesajiliwa na mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET) na kuruhusiwa kutoana kuendesha mafunzo ya TEHAMA Computer.
The Green International College, inakualika kujiungana chuo chetu katika kozi ya Computer in Application (Microsoft Office Package I ) Computer in Application (Microsoft Office Package II) Computer in Graphics design Computer in Accounting Package Chaguakozi (Program) unayohitajikwakuwekaalamapanapostahili
- Certificate in Computer Application (Microsoft Office Package I )
(Hapa Ada yote italipwa kabla ya kuanza masomo)
KOZI | ADA/GHARAMA | PROGRAM ZITAKAZO FUNDISHWA | MUDA |
Certificate in Computer Application (Microsoft Office Package ) | 260,000/= | 1-Introduction to Computer | Miezi Mitatu |
Application fee | 10,000/= | 2-Ms. word | |
3-Ms. Excel | |||
4-Ms. Access | |||
5-Ms. Power point | |||
6-Ms. Publisher | |||
7-Iternet& E – mail | |||
Jumla | 270,000/= |
Ada yote ilipwe Mapema kabla ya kuanza masomo.
- Certificate in Computer Application (Microsoft Office Package II) Cheti kitatolewa kwa atakayesoma Programs 7 Ukiondoa TYPING SPEED
(Hapa utalipa Ada kidogokidogo kila program)
PROGRAMS | MUDA WA KOZI | ADA | ULIPAJI WA ADA | |
1. | Introduction to Computer | Wiki mbili (2 weeks) | 50,000/=Pamoja na Ada ya Usajili wa Mwanafunzi. | Hapa unaruhusiwa kulipa Ada kidogokidogo kwa kila program kabla ya kuanza masomo |
2. | Ms. word | Wiki mbili (2 weeks) | 40,000/= | |
3. | Ms. Excel | Wiki mbili (2 weeks) | 40,000/= | |
4 | Ms. Access | Wiki mbili (2 weeks) | 40,000/= | |
5 | Ms. Power point | Wiki mbili (2 weeks) | 40,000/= | |
6 | Ms. Publisher | Wiki mbili (2 weeks) | 50,000/= | |
7 | Iternet& E – mail | Wiki mbili (2 weeks) | 50,000/= | |
8 | Typing Speed | Wiki mbili (3 weeks) | 50,000/= |
Sahihi ya mwanafunzi: _______________________ |
3; Computer in Graphics design (Adobe Packages)
1 | Adobe Pagemaker / Adobe in-design | 80,000 | Wiki tatu(3weeks) |
2 | Adobe Illustrator | 80,000 | Wiki tatu(3weeks) |
3 | Adobe photoshop | 80,000 | Wiki tatu(3weeks) |
4: Computer in Accounting Package
1 | Tally | 150,000 | Wiki nne (4 weeks) |
2 | Myob | 150,000 | Wiki nne (4 weeks) |
3 | Quick book | 150,000 | Wiki nne (4 weeks) |
CERTIFICATE IN SECRETARIAL) UHAZILI MIHULA YA MASOMO KWA MWAKA 2023
MUHULA WA 1 | MUHULA WA 2 | MUHULA WA 3 | MUHULA WA 4 | MUHULA WA 5 | MUHULA WA 6 |
09 JAN,2023 | 06 MAR,2023 | 08 MAY,2023 | 03 JULY,2023 | 11 SEPT,2023 | 06 NOV,2023 |
Sahihi ya mwanafunzi: _______________________ |
S/n | Masomo Yanayofundishwa kwa Stage I,II na III |
1 | Typing speed |
2 | Hati mkato |
3 | Short hand |
4 | English (Communication skills) |
5 | Office Practice |
6 | Secretarial Duties |
7 | Computer Application utasoma ukifika Stage Two (II) na Three (III) |
ADA /Fees
Stages/Hatua | Muda | Ada | |
1 | Stage One (I) | Miezi sita (6) | Tzs 700,000/= |
2 | Stage Two (II) | Miezi sita (6) | Tzs 500,000/= |
3 | Stage Three (III) | Miezi sita (6) | Tzs 400,000/= |
KOZI ZA KIINGEREZA MUDA NA GHARAMA
Kozi | Bigginer level | Intermediate level I. | Intermediate level II. | Pre-advance level | Advance level | |
01 | Muda wa kozi | Miezi mitatu | Miezi mitatu | Miezi mitatu | Miezi mitatu | Miezi mitatu |
02 | Ada/fee ukilipia kila mwezi | TZS 50,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 150,000/= kwa miezi mitatu | TZS 50,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 150,000/= kwa miezi mitatu | TZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatu | TZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatu | TZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatu |
03 | Ada/fee ukilipia kwa mkupuo mmoja kabla ya kuanza masomo | TZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu | TZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu | TZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu | TZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu | TZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu |
03 | VIP 1 English Language course program Mwanafunzi atafundishwa peke yake kwa ratiba na muda anaohitaji yeye masaa mawili kila siku | Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja |
04 | VIP 2 English Language course program Mwanafunzi atafundishwa peke yake kwa ratiba na muda anaohitaji yeye masaa mawili kila siku, -Atafundishwa hata siku za weekend jumamosi na jumapili na siku nyingine ambazo sio za kazi,tunaweza kukufundishia nyumbani kwa mteja. | Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja |
05 | Application fee | Tzs 10,000/= | Tzs 10,000/= | Tzs 10,000/= | Tzs 10,000/= | Tzs 10,000/= |
Cheti kitatolewa baada ya kumaliza masomo kila hatua
MAHITAJI MENGINE YA MWANAFUNZI
- Daftari moja(una nunua mwenyewe)
- Kalamu ya wino (una nunua mwenyewe)
Mazingira ya chuo.
Chuo chetu kipo kwenye mazingira tulivu, madarasa makubwa yenye mwanga Na hewa Safi.Ni mazingira bora ya kujifunzia.Tunao walimu wenye taaluma ya kutosha kumuelisha Na wenye kiu ya mafakio ya wanafunzi wao.
Faida ya kujiunga Na kozi za Computer hapa The Amazon College
- Gharama zetu Ni nafuu Sana.
- Utafundishwa na walimu mahiri wenye uzoefu na ari kubwa ya kumuelewesha mwanafunzi
- Kila mwanafunzi anatumia computer yake
- Madarasa yetu ni makubwa na yenye AC, hewa na mwanga wa kutosha
- Baada ya kumaliza mafunzo Kwa Nadharia Na vitendo Na kufaulu mitihani yako Kwa kupata alama nzuri mhitimu atatunukiwa cheti.
MWANAFUNZI UNAPASWA KUZINGATIAMAMBO HAYA MUHIMU.
- Mwanafunzi utapaswa kulipa ada kupitia benki kwa akaunti ya chuo utakayopewa na mhasibu hapa ofisini na si vinginevyo
- Mwanafunzi hakikisha unapewa risiti Kwa malipo yote utakayofanya chuoni. Kama umefanya malipo Na hukupewa risiti unawajibu WA kuidai.
- Mwanafunzi unapaswa kuzingatia utaratibu WA kulipa ada kidogo kidogo (kabla ya kuanza program husika) Kama ulivyoelekezwa ofisini, vinginevyo utasimamishwa masomo.
- Mwanafunzi zingatia kutunza risiti zako za malipo ya ada ni muhimu mpaka utakapohitimu na kutunukiwa cheti.
- Mwanafunzi hakikisha unahudhuria vipindi vyote vya darasani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa Na unazingatia muda uliopangiwa Kwa kipindi chote cha masomo.
- Mwanafunzi atakayeghairisha masomo baada ya kulipa ada Na kabla ya masomo kuanza atarudishiwa asilimia hamsini (50%) ya ada aliyolipa. (gharama za fomu ya kujiunga hazitarudishwa) Endapo utaamua kusitisha baada ya kuanza masomo ada haitarudishwa kwa namna yoyote.
- Mwanafunzi atasaini fomu ya sheria Na masharti ya chuo mara baada ya usajili wake kukamilika kabla ya kuanza masomo.
Cheti kitatolewa ndani ya siku Saba (7) baada ya kumaliza masomo Na hakikisha umechukua cheti chako kabla ya miezi miwili kupita baada ya hapo kutakuwa Na Tozo Yakuchelewa kuchukua cheti
- Ni wajibu wa mwanafunzi kuhakikisha anatenga muda wa kuhudhuria mafunzo mfululizo bila kukosa nadharia na vitendo, utaratibu wa kufidia au kuongeza siku kwa mwanafunzi asiye hudhuria mafunzo ama kurudisha ada haupo kwa namna yoyote ile ( zingatia hilo).
Baada ya kuhitimu hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya kupita miezi miwili baada ya hapo kutakuwa na TOZO kwa kuchelewa kuchukua cheti.
KIAPO CHA MWANAFUNZI.
Mimi ————————————————— nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nimeamua kwa dhati kujiunga na masomo kwa kozi ya Kompyuta (ComputerCourse)
———————————- ———————————-
Sahihi Tarehe
KIAPO CHA MZAZI/ MLEZI.
Mimi —————————————————Mzazi /Mlezi wa……………………………… nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nina ahidi kutekeleza wajibu wangu wa kulipa Ada kwa kuzingatia mwongozo uliotolewa katika fomu hii.
———————————- ———————————-
Sahihi
Other important costs
- College ID Tshs. 10,000 / = (paid before starting studies)
- T-shirt Tshs. 15,000 / = (paid before starting studies)
- Enrollment forms for all courses are only ten thousand shillings (20,000 / =).
- For more information get to the office or call our branches at the following telephone numbers:
- Tegeta kibaoni, we are in a building near PETRO petrol station phone number 0766 097 249 or 0657 373 732
- Ukonga Banana building with CRDB bank first floor phone number 0754 930 949 or 0719 707 798
- Mbagala rangitatu building with ACB bank on the second floor we are facing the daladala mbagala rangitatu station phone number 0767974 377 or 0675 388 185
- Magomeni kagera opposite Oil-com fuel station second floor phone number 0769 410 073 or 0719 925 164
- Mbezi luis follow the road leading to makabe you will see our poster phone number 0755 227 925 or 0676 866 833
- Kariakoo Lumumba building CCM Dar es salaam region eighth floor (8) phone number 0753 999 609 or 0719 925 165