THE AMAZON COLLEGE (T) LTD

CAMPUS  YA UKONGA BANANA

P.o.Box 55832, Contact: Office. . 0719-707798/0754930949 . Director 0655-030050/ 0755-030050

DAR ES SALAAM-TANZANIA

FOMU YA MAELEZO YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA HUDUMA ZA HOTELI (HOTEL SERVICES OPERATIONS MANAGEMENT – 2023 )

(LIPA ADA KIDOGO KIDOGO KILA MWEZI).

JINA LA MWANAFUNZI/MUOMBAJI…………………………………………

KOZI UNAYOOMBA_______________________________________

      Chuo cha The Amazon Campus ya Mbagala Rangi tatu, Kimesajiliwa na mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET) na kuruhusiwa kutoana kuendesha mafunzo ya huduma za hotel (Hotel services operations courses)  na  mafunzo ya TEHAMA.

     Chuo kinakukaribisha sana kujiunga na kozi ya Hotelia (Hotel Management)HUDUMA ZAHOTEL/UPISHI WA HOTELINI.UTENGENEZAJI WA KEKI.NA VITAFUNWASekta ya hotel na utalii inakuwa kwa kasi kubwa hapa nchini, ni sekta inayo ajiri vijana wengi.

Malengo yetu The Amazon Collegeni kutoa mafunzo kwa ubora wa hali ya juu hivyo kuwawezesha wahitimu wetu kunufaika na fursa za ajira kwa kujiajiri au kuajiriwa katika sekta hii ya Hotel na utalii inayokuwa kwa kasi hapa nchini.

MAZINGIRA YA CHUO.

Chuo chetu kipo kwenye mazingira tulivu, madarasa makubwa yenye mwanga na hewa safi. Ni mazingira bora ya kujifunzia. Tunao walimu wenye taaluma ya kutosha kumuelisha na wenye kiu ya mafanikio ya wanafunzi wao.

TAREHE ZA KUANZA  MIHULA  YA MASOMO KWA MWAKA 2023

MUHULA WA 1MUHULA WA 2MUHULA WA 3MUHULA WA 4MUHULA WA 5MUHULA WA 6
09 JAN,202306 MAR,202308 MAY,202303 JULY,202311 SEPT,202306 NOV,2023
1.Certificate in Full Hotel ManagementMiezi sita (6) chuoni na Mitatu (3) ya mwisho utapelekwa Field Hotelini
   Utasoma  idara zifuatazo:
House keeping
Food production and cookery
Food and beverage services and sales 
Front office ( Reception)
English Language Course  
ADA  NA MALIPO MENGINEYO
Ada ya masomo Tzs 700,000/= Laki saba tuu.
N/AMAELEZOMALIPO
01KIANZIO/MWEZI WA KUANZA MASOMO 
 Ada/Tuition FeeTZS 80,000/=
 Application  FeeTZS 20,000/=
 T- shirt     Pc 1      TZS 97,000/=
 Kitambulisho cha Mwanafunzi
 Apron na kofia   Pc 1
 Shati   Pc 1
 Kizibao na Neck Tai   Pc 1
 Sketi  au suruali  Pc 1
Malipo ya  Awamu ya kwanzaTZS 197,000/=
02.Mwezi wa pili wa Masomo    TZS 124,000/=
03Mwezi wa Tatu wa Masomo TZS 124,000/=
04Mwezi wa Nne wa Masomo  TZS 124,000/=
05Mwezi wa Tano wa MasomoTZS 124,000/=
06Mwezi wa Sita wa Masomo na wa Mwisho kabla ya Mitihani ya Mock/Semister  TZS 124,000/=
 JUMLA  KUUTZS 817,000/=
NB:Wanafunzi wa kike wanaruhusiwa kuvaa Suruali au Sketi

Sahihi ya mwanafunzi: _______________________  
Certificate  Hotel Services  Operation  ( 6 months)     
  Miezi mitatu (3)chuoni  na miezi mitatu (field) idara mbili (2) za hotel ambazo ni
Hotel front Office Operation (Reception)
Hotel food & beverage service and sales         
KOZI YA KIINGEREZA ITATOLEWA BUREE.  
ADA  NA MALIPO MENGINEYO
Ada ya masomo Tzs 350,000/= Laki tatu na elfu hamsini  tu.

UTARATIBU     WA   KULIPA   ADA:
N/AMAELEZOMALIPO
01KIANZIO/MWEZI WA KUANZA MASOMO 
 Ada/Tuition FeeTZS 80,000/=
 Application  FeeTZS 20,000/=
 T- shirt     Pc 1      TZS 97,000/=
 Kitambulisho cha Mwanafunzi
 Apron na kofia   Pc 1
 Shati   Pc 1
 Kizibao na Neck Tai   Pc 1
 Sketi  au suruali  Pc 1
Malipo ya  Awamu ya kwanzaTZS 197,000/=
02.Mwezi wa pili wa Masomo    TZS 135,000/=
03Mwezi wa Tatu wa Masomo na wa Mwisho kabla ya mitihani ya Mock /Semister TZS 135,000/=
JUMLA  KUUTZS 467,000/=
NB:Wanafunzi wa kike wanaruhusiwa kuvaa Suruali au Sketi,
3.KOZI FUPI  ZA HUDUMA ZA HOTEL (SHORT COURSES)
 KOZIMUDAADAFOMUJUMLA
iCertificate Hotel food production  and cookery (Upishi)Wiki Nne (4)250,000/=10,000/=260,000/=
iiCertificate in Hotel housekeeping and Cleaning. Hii ni kozi ya Usafi wa Hotel.  Wiki Nne (4)150,000/=10,000/=160,000/=
iiiCertificate in Cake/Pastry baking and decoration/ kozi ya uokaji wa keki aina mbalimbali.  Wiki Mbili (2)150,000/=10,000/=160,000/=
ivCertificate in Bites and Snacks production / kozi ya utengenezaji wa vitafunwa  Wiki Mbili (2)125,000/=10,000/=135,000/=
i)Wanafunzi wa kozi fupi hawata lazimika kuvaa sare/uniforms kamili,Watatakiwa kuvaa T.shirt, Apron na Kofia ya jikoni watakapo kuwa mafunzoni ,Isipikuwa wanafunzi wa housekeeping watavaa T.shirt na Sketi au suruali kwa wavulana nawasichana. (ii)T.shirt, kofia na Apron vitatolewa buree chuoni.

(ii)Ada ya kozi fupi inalipwa yote mapema kabla ya kuanza masomo.

MAFUNZO KWA VITENDO (FIELD) KWA WANAFUNZI WA KOZI ZIFUATAZO

FULL HOTEL MANAGEMENT

-HOTEL SERVICES OPERATION

-HOTEL FOOD PRODUCTION AND COOKERY.

Baada ya kipindi cha masomo ya darasani kumalizika mwanafunzi atafanya mafunzo kwa vitendo( field attachment ) popote atakapo chaugua kati ya ARUSHA, DAR ES SALAAM, ZANZIBAR, MOROGORO , TANGA na BAGAMOYO.

Kutakuwepo na gharama za field na gharama hizo zitategemea eneo utakalo chagua na gharama hizo zinatofautiana mkoa mmoja na mwingine.  Gharama hizo za field zitalipwa na mwanafunzi mwenyewe

FAIDA YA KUJIUNGA NA KOZI  YA HOTEL MANAGEMENT (HOTELIA)

  1. AJIRA ya UHAKIKA: Wahitimu wetu wamekuwa wakifanya vizuri katika soko la AJIRA hivyo kuacha sifa nzuri kila wanapo pita katika hoteli,kampuni na tasisi mbalimbali.
  • Sekta hii ni pana sana hivyo kupitia maarifa na ujuzi atakaopata chuoni mhitimu anauwezo wa kuamua kuajiriwa au kujiajiri.
  • Kupitia fani hii mhitimu atapata fursa ya kufanya kazi kwenye hoteli za kitalii za ndani au nje ya nchi yetu.
  • Kupitia fani hii mhitimu anapata fursa ya kukutana na watu mbalimbali hata wale wa mataifa mengine, hivyo kumuongezea maarifa, uwigo mpana katika mahusiano na kujiamini zaidi.
  • Baada ya kumaliza mafunzo kwa vitendo (field) na kufaulu mitihani yake mhitimu atatunukiwa cheti.
  • Mwanafunzi atafanya mafunzo kwa vitendo (field) popote atakapochagua kati ya Arusha ,

      Dar es salaam, Zanzibar, Morogoro, Tanga na Bagamoyo. 

MAHITAJI MUHIMU:

 Mwanafunzi anatakiwa kuandaa vifaa vifuatavyo

  • Madaftari yakutosha kwa masomo matano
  • Kalamu za wino (blue)
  • Kiatu cheusi cha kufunika mguu

SHERIA NA TARATIBU AMBAZO MWANAFUNZI  UNAPASWA KUZINGATIA.

  • Kila mwanafunzi ni lazima awe na kitambulisho cha shule na avae shingoni muda wote, Ikiwa mwanafunzi amepoteza kitambulisho atapaswa kutoa taarifa kituo cha polisikisha alipie chuoniTsh.10,000/= ili apatiwe kingine.
  • Mwanafunzi unapaswa kuzingatia taratibu za uvaaji wa sare za chuo kama ulivyoelekezwa vinginevyo hutoruhusiwa kuingia darasani.
  • Wanafunzi wanaovaa hijabu, hawaruhusiwi kuvaaa hijabu za rangi nyingine tofauti na nyeupe
  • Mwanafunzi haruhusiwi kuvaa kilemba au kofia kichwani, ikiwa unayo sababu maalum ya kufanya hivyo unapaswa kuomba kibali kwa mkuu wa chuo.
  • Mwanafunzi haruhusiwi kutumia vileo mf. Pombe, uvutaji wa sigara au bangi n.k uwapo chuoni au katika mazingira ya chuo.Ukibainika utasimamishwa masomo moja kwa moja.
  • Mwanafunzi hakikisha unahudhuria vipindi vyote vya darasani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa na unazingatia muda kwa kipindi chote cha masomo
  • Mwanafunzi unapaswa kulipa ada kupitia benki kwa akaunti ya chuo utakayopewa na mhasibu hapa ofisini na si vinginevyo
  •  Mwanafunzi hakikisha unapewa risiti kwa malipo yote utakayofanya chuoni. Kama umefanya malipo na hukupewa risiti unawajibu wa kuidai.
  • Mwanafunzi unapaswa kuzingatia utaratibu wa kulipa ada kidogo kidogo (kupunguza kila mwezi) kama ulivyoelekezwa ofisini.
  • Mwanafunzi atakayeshindwa kulipa ada kwa utaratibu wa kupunguza kila mwezi uliowekwa na chuo atasimamishwa masomo mara moja.
  • Mwanafunzi zingatia kutunza risiti zako za malipo ya ada ni muhimu mpaka utakapohitimu na kutunukiwa cheti.

Sahihi ya mwanafunzi: _______________________

  • Mwanafunzi unapaswa kukamilisha malipo yako ya ada kabla ya kufanya  mitihani yako ya mwisho.
  • Ni lazima kila mwanafunzi afanye mazoezi yote atakayopewa na mwalimu darasani,pamoja na mitihani yote itakayotolewa na shule.
  • Mwanafunzi unapaswa kuwa makini na vifaa vya mazoezi (practical) ikiwa utaharibu kifaa chochote utatakiwa kufidia
  • Mwanafunzi unapaswa kuvaa sare stahiki unapokuwa kwenye mafunzo kwa vitendo jikoni (mf. Apron,kofia na viatu vya kufunika mguu) vinginevy hutaruhusiwa kuingia jikoni.
  • Mahusiano ya kimapenzi kati yamwanafunzi na Mwanafunzi au mwanafunzi na mwalimu au na mfanyakazi yeyote wa shule ni marufuku kabisa
  • Mwanafunzi atakayeghairisha masomo baada ya kulipa ada na kabla ya masomo kuanza atarudishiwa asilimia hamsini (50%) ya ada aliyolipa.  (gharama za fomu ya kujiunga hazitarudishwa) Endapo utaamua kusitisha baada ya kuanza masomo ada haitarudishwa kwa namna yoyote.
  • Ni lazima mwanafunzi atii na kufuata sheria zote zilizoorodheshwa hapo juu na zile nyingine utakazoendelea kupewa pindi awapo chuoni.

Baada ya kuhitimu hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya kupita miezi miwili baada ya hapo kutakuwa na TOZO kwa kuchelewa kuchukua cheti.

  •  

KIAPO CHA MWANAFUNZI.

Mimi ————————————————— nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nimeamua kwa dhati kujiunga na masomo kwa kozi ya Hotelia (Hotel Management) kwa

———————————-                                                        ———————————-

Sahihi                                                                                                                          Tarehe

KIAPO CHA  MZAZI/ MLEZI.

Mimi —————————————————Mzazi /Mlezi wa……………………………… nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nina ahidi kutekeleza wajibu wangu wa kulipa Ada kwa kuzingatia mwongozo uliotolewa katika fomu hii.

———————————-                                                        ———————————-

Sahihi                                                                                                                          Tarehe

(kwa matumizi ya ofisi)

Jina la mpokeaji form ( mkuu wa chuo)au kwa niaba

Jina ——————————————-   Sahihi    ——————————   Tarehe ———-

Other important costs

  • College ID Tshs. 10,000 / = (paid before starting studies)
  • T-shirt Tshs. 15,000 / = (paid before starting studies)
  • Enrollment forms for all courses are only ten thousand shillings (20,000 / =).
  • For more information get to the office or call our branches at the following telephone numbers:
  • Tegeta kibaoni, we are in a building near PETRO petrol station phone number 0766 097 249 or 0657 373 732
  • Ukonga Banana building with CRDB bank first floor phone number 0754 930 949 or 0719 707 798
  • Mbagala rangitatu building with ACB bank on the second floor we are facing the daladala mbagala rangitatu station phone number 0767974 377 or 0675 388 185
  • Magomeni kagera opposite Oil-com fuel station second floor phone number 0769 410 073 or 0719 925 164
  • Mbezi luis follow the road leading to makabe you will see our poster phone number 0755 227 925 or 0676 866 833
  • Kariakoo Lumumba building CCM Dar es salaam region eighth floor (8) phone number 0753 999 609 or 0719 925 165