THE AMAZON COLLEGES (LTD)

(CAMPUS -WESTERN TRAINING COLLEGE)

KARIAKOO CCM REGION OFFICE BUILDING 8Th Floor LUMUMBA

P.o.Box 55832, Contact: Office. 0719-925165/0743-999609 Director 0655-030050/ 0755-030050 DAR ES SALAAM-TANZANIA

FOMU YA MAELEZO YA  KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UHAZILI/SECRETARIAL COURSE Ngazi ya Cheti 2023

(LIPA  ADA KIDOGO KIDOGO KILA MWEZI).

JINA LA MWOMBAJI/MWANAFUNZI………………………………………………………………

Chuo cha Western Training college Campus ya kariakoo,Kinacho milikiwa wa The Amazon Colleges(T)Limitedni Chuo kilichosajiliwa na mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundiNACTVETkutoa mafunzo ya UHAZILI SECRETARIAL STUDIES NA COMPUTER APPLICATIONS. Chuo kipo ndani ya jengo la CCM Mkoa wa Dar es salaam ghorofa ya nane(8)  Kariakoo mtaa wa Lumumba.

Western Training college –Kariakoo ni campus maalum kwa mafunzo ya UHAZILI( secretarial studies ) tumejipanga kuhakikisha tunakuwezesha kupata mafunzo ya hali ya juu yatakayo kuwezesha kumudu ushindani wa soko la ajira la ndani na nje ya nchi.

MAZINGIRA YA CHUO.

Chuo chetu kipo kwenye mazingira tulivu, madarasa makubwa yenye mwanga na hewa safi. Ni mazingira bora ya kujifunzia. Tunao walimu wenye taaluma ya kutosha kumuelisha na wenye kiu ya mafanikio ya wanafunzi wao.

FAIDA YA KUJIUNGA NA KOZI YA SECRETARIAL (UHAZILI) HAPA WESTERN TRAINING COLLEGE

 • Kozi inatolewa kwa gharama nafuu sana ukilinganisha na vyuo vingine.
 • Mwanachuo atapata offer ya kusoma kozi ya kiingereza na computer program bure.
 • Utalipa ada kidogo kidogo kila mwezi kwa utaratibu utakaopewa hapa chuoni
 • AJIRA ya UHAKIKA: Kutokana na ubora wa wahitimu wetu wamekuwa wakifanya vizuri katika soko la AJIRAambapo ofisi za,kampuni na taasisi mbalimbali wamekuwa wakiwasiliana nasi kila wanapohitaji kwenye mahitaji.

(CERTIFICATE IN SECRETARIAL) UHAZILI MIHULA YA MASOMO KWA MWAKA 2023

MUHULA WA 1MUHULA WA 2MUHULA WA 3MUHULA WA 4MUHULA WA 5MUHULA WA 6
09 JAN,202306 MAR,202308 MAY,202303 JULY,202311 SEPT,202306 NOV,2023
Sahihi ya mwanafunzi: _______________________   
S/nMasomo Yanayofundishwa  kwa Stage I,II na III
1Typing speed
2Hati mkato
3Short hand
4English (Communication  skills)
5Office Practice
6Secretarial Duties
7Computer Application utasoma ukifika Stage Two (II) na Three (III)

ADA  NA MALIPO MENGINEYO

Stage One (I)

Miezi sita (6)

Ada ya masomo Tzs 700,000/= Laki saba  tuu.

UTARATIBU     WA   KULIPA   ADA:

N/AMAELEZOMALIPO
01KIANZIO/MWEZI WA KUANZA MASOMO 
             Ada/Tuition FeeTZS 80,000/=
 Application  FeeTZS 20,000/=
 T- shirt      Pc 1    TZS 87,000/=
 Kitambulisho cha Mwanafunzi
              Shati   Pc 1
              Kizibao na Neck Tai   Pc 1
             Sketi  au suruali  Pc 1
 JUMLA YA MALIPO MWEZI WA KUANZA MASOMOTZS 187,000/=
02.Mwezi wa pili wa Masomo    TZS 124,,000/=
03Mwezi wa Tatu wa Masomo TZS 124,,000/=
04Mwezi wa Nne wa Masomo  TZS 124,,000/=
05Mwezi wa Tano wa MasomoTZS 124,,000/=
06Mwezi wa Sita wa Masomo na wa Mwisho kabla ya Mitihani ya stage one(1)TZS 124,,000/=
 JUMLA  KUUTZS 807,000/=

NB:Wanafunzi wa kike wanaruhusiwa kuvaa Suruali au Sketi,

ADA  NA MALIPO MENGINEYO

Stage Two (II)

Miezi sita (6)

Ada ya masomo Tzs 500,000/= Laki tano  tuu.

UTARATIBU     WA   KULIPA   ADA:
N/AMAELEZOMALIPO
 KIANZIO/MWEZI WA KUANZA MASOMO 
01.Mwezi wa kwanza  wa Masomo    TZS 100,000/=
02.Mwezi wa pili wa Masomo    TZS 80,000/=
03Mwezi wa Tatu wa Masomo TZS 80,000/=
04Mwezi wa Nne wa Masomo  TZS 80,000/=
05Mwezi wa Tano wa MasomoTZS 80,000/=
06Mwezi wa Sita wa Masomo na wa Mwisho kabla ya Mitihani ya stage one(1)TZS 80,000/=
 Ada ya Mitihani ya NABE/VETA40,000/=
 JUMLA  KUUTZS 540,000/=
ADA  NA MALIPO MENGINEYO

Stage Three (III)

Miezi Minne (4)

Ada ya masomo Tzs 400,000/= Laki Nne  tuu.

UTARATIBU     WA   KULIPA   ADA:
N/AMAELEZOMALIPO
 KIANZIO/MWEZI WA KUANZA MASOMO 
01.Mwezi wa kwanza  wa Masomo    TZS 100,000/=
02.Mwezi wa pili wa Masomo    TZS 100,000/=
03Mwezi wa Tatu wa Masomo TZS 100,000/=
04Mwezi wa Nne wa Masomo  TZS 100,000/=
05Mwezi wa Tano wa MasomoTZS 100,000/=
 Ada ya Mitihani ya NABE/VETATZS 40,000/=
 JUMLA  KUUTZS 440,000/=
MAHITAJIMENGINE  MUHIMU:

Mwanafunzi anatakiwa kuandaa vifaa vifuatavyo.

 • Viatu vyeusi vya Ngozi na soksi nyeupe.
 • Madaftari yakutosha kwa masomo matatu
 • Notebook    mbili (2)
 • Ream paper moja (bando moja la karatasi nyeupe)

Kalamu za wino (blue) na kalamu ya risasi (pencil)

MAFUNZO KWA VITENDO KAZINI ( FIELD ATTACHMENT )

Baada ya kumaliza masomo kwa mihula semester ya kwanza naya pili na kufanya mitihani yote ya mwisho mwanafunzi atapelekwa field kwa miezi mitatu (3) na gharama za field zitalipwa na mwanafunzi mwenyewe kwa kuzingatia mahitaji husika ya kampuni au taasisi atakayofanyia field

MITIHANI NA VYETI.
 • Mwanafunzi atapata cheti baada ya kumaliza masomo kikamilifu na kufanya mitihani  ya Stage (Hatua) zote tatu (3)  na kufaulu kwa kiwango kilichoelekezwa.
 • Mwanafunzi pia atafanya mitihani ya NABE (VETA)
 • Aidha cheti cha NABE (VETA)hutolewa kwa wote wataakaofaulu mitihani hiyo kwa kiwango kilichoelekezwa gharama za kulipia mitihani hiyo ya NABE kwa sasa ni Tzs 40,000/= Gharama hizi zitalipwa na Mwanafunzi Mwenyewe .
SHERIA NA TARATIBU AMBAZO MWANAFUNZI  UNAPASWA KUZINGATIA
 • Kila mwanafunzi ni lazima awe na kitambulisho cha shule na avae shingoni muda wote, Ikiwa mwanafunzi amepoteza kitambulisho atapaswa kutoa taarifa kituo cha polisikisha alipie shuleni Tsh.10,000/= ili apatiwe kingine.
 • Mwanafunzi unapaswa kuzingatia taratibu za uvaaji wa sare za chuo kama ulivyoelekezwa vinginevyo hutoruhusiwa kuingia darasani.
 • Wanafunzi wanaovaa hijabu, hawaruhusiwi kuvaa hijabu za rangi nyingine tofauti na nyeupe
 • Mwanafunzi haruhusiwi kuvaa kilemba au kofia kichwani, ikiwa unayo sababu maalum ya kufanya hivyo unapaswa kuomba kibali kwa mkuu wa chuo.
 • Mwanafunzi haruhusiwi kutumia vileo mf. Pombe, uvutaji wa sigara au bangi n.k uwapo chuoni au katika mazingira ya chuo.Ukibainika utasimamishwa masomo moja kwa moja
Sahihi ya mwanafunzi: _______________________   
 • Mwanafunzi hakikisha unahudhuria vipindi vyote vya darasani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa na unazingatia muda kwa kipindi chote cha masomo
 • Mwanafunzi unapaswa kulipa ada kupitia benki kwa akaunti ya chuo utakayopewa na mhasibu hapa ofisini na si vinginevyo
 •  Mwanafunzi hakikisha unapewa risiti kwa malipo yote utakayofanya chuoni. Kama umefanya malipo na hukupewa risiti unawajibu wa kuidai.
 • Mwanafunzi unapaswa kuzingatia utaratibu wa kulipa ada kidogo kidogo (kupunguza kila mwezi) kama ulivyoelekezwa ofisini.
 • Mwanafunzi atakayeshindwa kulipa ada kwa utaratibu wa kupunguza kila mwezi uliowekwa na chuo atasimamishwa masomo mara moja.
 • Mwanafunzi zingatia kutunza risiti zako za malipo ya ada ni muhimu mpaka utakapohitimu na kutunukiwa cheti.
 • Mwanafunzi unapaswa kukamilisha malipo yako ya ada kabla ya kufanya  mitihani yako ya mwisho.
 • Ni lazima kila mwanafunzi afanye mazoezi yote atakayopewa na mwalimu darasani,pamoja na mitihani yote itakayotolewa na shule.
 • Mahusiano ya kimapenzi kati yamwanafunzi na Mwanafunzi au mwanafunzi na mwalimu au na mfanyakazi yeyote wa shule ni marufuku kabisa
 • Mwanafunzi atakayeghairisha masomo baada ya kulipa ada na kabla ya masomo kuanza atarudishiwa asilimia hamsini (50%) ya ada aliyolipa.  (gharama za fomu ya kujiunga hazitarudishwa) Endapo utaamua kusitisha baada ya kuanza masomo ada haitarudishwa kwa namna yoyote.
 • Ni lazima mwanafunzi atii na kufuata sheria zote zilizoorodheshwa hapo juu na zile nyingine utakazoendelea kupewa pindi awapo chuoni.

Baada ya kuhitimu hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya kupita miezi miwili baada ya hapo kutakuwa na TOZO kwa kuchelewa kuchukua cheti.

Kiapo  cha mwanafunzi

Mimi ————————————————— nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa katika fomu hii  na kwa ridhaa yangu  nimeamua kwa dhati kujiunga na masomo kwa kozi ya Uhazili (Secretarial) na kwamba niko tayari kufuata na kutii taratibu zote za chuo pamoja na  kulipa Ada na michango mingine  kama ilivyo elekezwa

———————————-                                                       ———————-

Saini                                                                                                  Tarehe

Kiapo  cha Mzazi/ Mlezi au Mdhamini.

Mimi————————————————-Mzazi/Mlezi /Mdhamini  wa mwanafunzi mtajwa hapo juu nina ahidi kulipa Ada na michango mingine ya chuo kama ilivyo elekezo na itakavyo elekezwa na uongozi wa chuo pamoja na kushirikiana na chuo katika malezi ya mwanafunzi kwa kipindi chote atakacho kuwa chuoni.

Saini————————————————–   Tarehe———————————

       (kwa matumizi ya ofisi)                                                                           

Jina la mpokeaji form ( mkuu wa chuo)au kwa niaba

Jina ————————————- Saini   ———————-   Tarehe ————-

Other important costs

 • College ID Tshs. 10,000 / = (paid before starting studies)
 • T-shirt Tshs. 15,000 / = (paid before starting studies)
 • Enrollment forms for all courses are only ten thousand shillings (20,000 / =).
 • For more information get to the office or call our branches at the following telephone numbers:
 • Tegeta kibaoni, we are in a building near PETRO petrol station phone number 0766 097 249 or 0657 373 732
 • Ukonga Banana building with CRDB bank first floor phone number 0754 930 949 or 0719 707 798
 • Mbagala rangitatu building with ACB bank on the second floor we are facing the daladala mbagala rangitatu station phone number 0767974 377 or 0675 388 185
 • Magomeni kagera opposite Oil-com fuel station second floor phone number 0769 410 073 or 0719 925 164
 • Mbezi luis follow the road leading to makabe you will see our poster phone number 0755 227 925 or 0676 866 833
 • Kariakoo Lumumba building CCM Dar es salaam region eighth floor (8) phone number 0753 999 609 or 0719 925 165