KoziAina ya LeseniMudaAda TZSFomuJumla
1Driving course/Mafunzo ya Udereva.B na DWiki 4250,000/=10,000/=260,000/=
2Special  Driving course- (Mafunzo Maalum kwa  anaye penda kufundishwa peke yake kwa kufuata ratiba yake) .   Pia mwanafunzi anaweza kufuatwa nyumbani au Ofisini na Mafunzo yakatolewa hukohuko bila kulazimika kufika shuleni (TUTAKUHUDUMIA PALE ULIPO). Siku za Masomo ni Jumatatu hadi Jumamosi.   B na DWiki 4400,000/=10,000/=410,000/=
3Special Driving course- Weekend program. (Mafunzo Maalum kwa siku za Jumamosi na Jumapili tu ).   Mwanafunzi atafundishwa siku ya jumamosi na jumapili au siku yoyote isiyo ya kazi pia atatumia saa nyingi zaidi kujifunza kwa siku.   Hapa wanafunzi wanaweza kuwa zaidi ya Mmoja(Group Leaning) B na DSiku 10320,000/=10,000/=330,000/=
4Kozi Maalumu ya Udereva, kwa Madereva   Wenye  Leseni yenye miaka  isiyopungua Miwili(2) na,   Hakuhudhuria Mafunzo shuleni/Chuoni  au anahitaji kuongeza  uzoefu wa kuendesha gari na Sheria na Alama za Barabarani kwa ujumla baada ya kutoendesha kwa muda mrefu.   Kozi hii itachua Muda wa Wiki Moja (Siku Sita 6) tu, CHETI Kitatolewa baada ya kuhitimu.A,A1,A2,,A3,B na DSiku  6140,000/=10,000/=150,000/=
  • Chati ya alama za barabarani  kitatolewa buree
  • Ada yote ilipwe mapema kabla ya kuanza masoma.

BAADA ya kulipa Ada utapewa Stakabadhi Risiti ya malipo na Utapewa maelekezo ya namna ya kwenda kulipia na kuchukua Leseni ya kujifunzia LEANING LICENSE (LEANER)  Leseni hiyo inatolewa na mamlaka ya Mapato TRA.

Gharama nyingine muhimu

  • Fomu za kujiunga na kozi zote ni shilingi elfu kumi tu (10,000 / =).
Azania street near Tan oil station (2nd floor)

Reception: 0657-373732

                     0766-097249

 Principal:  0746-905143

ACB bank building (2nd floor)opposite mbagala rangitatu bus stand.

Reception: 0675-388185

                    0767-974377

Principal: 0746-898763

Makumbusho Complex building (3rd Floor).

Reception: 0719-925164

                      0769410073

Principal : 0743-081031

NMB building (1st floor) near Malamba mawili bus stand

Reception: 0676-866833

                     0755-227925

 Principal: 0747-174302

Crdb building (2nd floor).

Reception: 0719-707798

                      0754-930949

 Principal: 0743-249441

Njuweni hotel(3rd floor)

Reception: 0719-925163

                   0677- 054608

Lumumba street,Ccm mkoa (3rd floor)

Contact: 0675-291289