BADO TUNAPOKEA MAOMBI MAPYA KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023
Neno la Ukaribisho kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu

- Chuo cha Amazon inawakaribisha vijana na watu wote wenye nia ya kupata elimu na mafunzo katika Nyanja mbalimbali kujiunga na vyuo vyake vilivyopo kona mbalimbali za jiji la dar es salaam.
- Vyuo vya Amazon ni vyuo vilivyaonzishwa kwa lengo la kuwasaidia vijana na watu wa rika zote kupata elimu na ujuzi utakao wawezesha kujiajiri na kupata fursa za ajira katika taasisi na kampuni mbalimbali
- Vyuo vya Amazon vimeanzishwa chini ya sheria na taratibu za nchi vikisimamiwa na kampuni mama ya Vyuo vya Amazonvikiwa vimesajiliwa na taasisi ya mafunzo na ufundi (VETA) kutoa mafunzo katika sekta za biashara na uchumi.
CHUO CHA AMAZON
- Ni chuo cha kibinafsi ambacho hutoa kozi fupi katika kiwango cha Cheti katika sekta (sekta) Ukarimu wa Biashara.
- Chuo kina matawi zaidi ya sita (6) jijini Dar es Salaam, matawi haya yameorodheshwa kwenye ukurasa wa mwisho ambapo yanarahisisha wateja wetu kupata huduma karibu na wanakoishi. ya ndani na nje hasa katika eneo la Afrika mashariki.