THE AMAZON DRIVING SCHOOL

CAMPUS  YA MBEZI LUIS

S.L.P 55832, Mawasiliano: Ofisi. 0676-866833 /0755-227925 Mkurugenzi 0655-030050/ 0755-030050

DAR ES SALAAM-TANZANIA

FOMU YA MAELEZO YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UDEREVA (BASIC DRIVING COURSE) 2023.

  JINA  LA MWOMBAJI/MWANAFUNZI…………………………………………..

The Amazon driving school Mbagala Rangi Tatu imesajiliwa na wizara ya mambo ya ndani ya nchi kupitia Jeshi la polisi Tanzania Kikosi cha usalama barabarani makao makuu

Chuo cha Amazon cha udereva tunayo furaha kubwa kukukaribisha katika mafunzo bora ya udereva wa awali( Basic Driving).

The Amazon Driving School has various goals in common and ensures we provide the highest level of training and ultimately provide the highest quality drivers

MAZINGIRA YA CHUOshule yetu kipo kwenye mazingira tulivu, madarasa makubwa yenye mwanga na hewa safi..Madarasa yetu yana picha za alama zilizoko kwenye ubora na zinazoonekana vizuri . Ni mazingira bora na salama kwa kujifunzia.

FAIDA YA KUJIUNGA NA THE AMAZON DRIVING SCHOOL

  • Baada ya kumaliza masomo na kufaulu mitihani ya chuo na kupewa cheti utatakiwa kulipia GRR kwa ajili ya kupelekwa test ya polisi ambapo ukifaulu test utaenda kulipia gharama za leseni yako ( uongozi wa shule utakuwa bega kwa bega kuhakikisha unapata leseni kwa kuzingatia utaratibu wa sheria)
  • Gari zetu zipo kwenye hali nzuri (mpya) na ni aina “manual”.
  • Walimu mahiri na wenye uwezo na nia ya kukufanya ufahamu kuendesha gari na taratibu zote za barabarani
  • Ada zetu ni nafuu sana ukilinganisha na huduma utakayopata.
  • Utasoma kwa nadharia darasani na vitendo barabarani
  • Utawezeshwa kupata leseni mara baada ya kuhitimu mafunzo kwa kuunganishwa na taasisi zinazohusika.
  • Mwanafunzi unaruhusiwa kutoa taarifa kwa mkurugenzi mara moja unapoona huridhiki na huduma unayopata chuoni. (Namba za simu zipo kwenye mbao za matangazo chuoni)

MCHANGANUO  WA KOZI NA GHARAMA ZAKE

 KoziAina ya LeseniMudaAda TZSFomuJumla
1Driving course/Mafunzo ya Udereva.B na DWiki 4250,000/=10,000/=260,000/=
2Special Driving course- (Mafunzo Maalum kwa  wanaye penda kufundishwa peke yake kwa kufuata ratiba yake) .   Pia mwanafunzi anaweza kufuatwa nyumbani au Ofisini na Mafunzo yakatolewa hukohuko bila kulazimika kufika shuleni (TUTAKUHUDUMIA PALE ULIPO). Siku za Masomo ni Jumatatu hadi Jumamosi.   Tutakusaidia kupata Leseni ya kujifunzia (Leaning License) Ghrama ya LENA ni TZS 20,000/=B na DWiki 4400,000/=10,000/=410,000/=
3Special Driving course- Weekend program. (Mafunzo Maalum kwa siku za Jumamosi na Jumapili tu).   Mwanafunzi atafundishwa siku ya jumamosi na jumapili au siku yoyote isiyo ya kazi pia atatumia saa nyingi zaidi kujifunza kwa siku.   Hapa wanafunzi wanaweza kuwa zaidi ya Mmoja(Group Leaning) Tutakusaidia kupata Leseni ya kujifunzia (Leaning License) Ghrama ya LENA ni TZS 20,000/=B na DSiku 10320,000/=10,000/=330,000/=
4Kozi Maalumu ya Udereva, kwa Madereva   Wenye  Leseni yenye miaka  isiyopungua Miwili(2) na,   Hakuhudhuria Mafunzo shuleni/Chuoni  au anahitaji kuongeza  uzoefu wa kuendesha gari na Sheria na Alama za Barabarani kwa ujumla baada ya kutoendesha kwa muda mrefu.   Kozi hii itachua Muda wa Wiki Moja (Siku Sita 6) tu, CHETI Kitatolewa baada ya kuhitimu.A,A1,A2,,A3,B na DSiku  6140,000/=10,000/=150,000/=
  • Kitabu,chati ya alama za barabarani na T.shirt(form six) vitatolewa buree
  • Ada yote ilipwe mapema kabla ya kuanza masoma.
 

BAADA ya kulipa Ada utapewa Stakabadhi Risiti ya malipo na Utapewa maelekezo ya namna ya kwenda kulipia na kuchukua Leseni ya kujifunzia LEANING LICENSE (LEANER)  Leseni hiyo inatolewa na mamlaka ya Mapato TRA.

UPATIKANAJI  WA LESENI BAADA YA KUHITIMU MAFUNZO.

Baada ya kuhitimu mafunzo na kutunukiwa cheti,Utapelekwa Test Kufanyiwa majaribio kuona kama umekidhi vigezo vya kupewa leseni ya Daraja husika.

Zoezi hilo la Test litasimamiwa na JESHI LA POLISI Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni Kituo cha Oyster bay.

Hivyo baada ya kufuzu utapewa kibali cha kulipia leseni yako ambayo kwa sasa ni Tzs 70,000/=

BAADHI YA SIFA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UDEREVA.

1.Uwe na Umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea.

2.Uwe na kitambulisho cha taifa (NIDA)

3.Uwe na akili timamu.

4.Uwe na uoni mzuri.

MWANAFUNZI  UNAPASWA KUZINGATIA  MAMBO  HAYA MUHIMU.

  • Mwanafunzi unapaswa kuwa na leseni ya kujifunzia (learning driving licence) inayotolewa na na TRA kabla ya kuanza mafunzo.
  • Mwanafunzi hakikisha unapewa risiti kwa malipo yote utakayofanya chuoni. Kama umefanya malipo na hukupewa risiti una wajibu wa kudai.
  • Ada ikishalipwa haitarudishwa kwa namna nyingine yoyote isipo kuwa pale itakapothibitika kuwa mtoa huduma ameshindwa kutoa huduma kwa utaratibu ulioelekezwa.
  • Mwanafunzi hakikisha umepewa kitabu na T-shirt mara baada ya kulipia na kabla ya kuanza mafunzo.
  • Mwanafunzi hakikisha unasaini fomu ya mahudhurio kila siku tangu unapoanza mpaka siku utakayomaliza. .
  • Ni wajibu wa mwanafunzi kuhakikisha anatenga muda wa kuhudhuria mafunzo mfululizo kwa wiki nne bila kukosa nadharia na vitendo, utaratibu wa kufidia au kuongeza siku kwa mwanafunzi asiye hudhuria mafunzo haupo kabisa.
  • Mwanafunzi zingatia tarehe uliyoanza mafunzo ndio tarehe utakayoenda kumaliza mwezi utakaofuata. Hivyo unashauriwa kuzingatia ratiba yako ya mahudhurio.
  • Mwanafunzi zingatia muda wa kujifunza barabarani ni nusu saa (dakika 30) kwa kila mtu mmoja.
  • Baada ya kumaliza mafunzo ya wiki nne, mwanachuo utafanya mtihani wa nadharia na vitendo ukifaulu kwa A,B na C utapata cheti, na taratibu za kupata leseni zitaendelea.
  • Mwanafunzi atakayepata alama D na F atakuwa amefeli mitihani hivyo atakuwa amekosa sifa ya kupata cheti na atashauriwa kurudia mitihani yake kwa utaratibu atakaolekezwa.
Sahihi ya mwanafunzi: _______________________ 
  • Mwanafunzi hakikisha unahudhuria vipindi vyote vya darasani kila siku ya jumamosi, vinginevyo utakosa sifa ya kufanya mitihani.
  • Mwanafunzi huruhusiwi kutumia kilevi chochote uwapo chuoni/mafunzoni endapo utabainika hautaruhusiwa kupata mafunzo kwa siku hiyo.
  • Tunza risiti zako za malipo ya ada hadi upate cheti.
  • Cheti cha kuhitimu na kufuzu mafunzo kitatolewa mapema ndani ya siku saba ( 7) baada ya kufanya mitihani yako ya mwisho.  Hivyo hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya miezi miwili kupita, baada ya hapo kutakuwa naTozokwa kuchelewa kuchukuwa cheti naTozo itazidi kukua/ kuongezeka kadri muda unavyopita.

TAHADHARI: Mwanafunzi unatakiwa kuzingatia taratibu zote zilizoelekezwa hapo juu ikiwemo za upatikanaji wa leseni. Usikubali kutoa pesa kwa mtu yeyote kwa lengo la kukutafutia leseni kinyume na utaratibu ulioelekezwa hapo juu.

Baada ya kuhitimu hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya kupita miezi miwili baada ya hapo kutakuwa na TOZO kwa kuchelewa kuchukua cheti.

KIAPO CHA MWANAFUNZI.

Mimi ————————————————— nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nimeamua kwa dhati kujiunga na masomo kwa kozi ya Udereva (Driving Course) kwa

———————————-                  .0                                   ———————————-

Sahihi                                                                                                                         Tarehe

KIAPO CHA  MZAZI/ MLEZI.

Mimi —————————————————Mzazi /Mlezi wa……………………………… nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nina ahidi kutekeleza wajibu wangu wa kulipa Ada kwa kuzingatia mwongozo uliotolewa katika fomu hii.

———————————-                                                         ———————————-

Sahihi                                                                                                                         Tarehe

(kwa matumizi ya ofisi)

Jina la mpokeaji form ( mkuu wa chuo)au kwa niaba

Jina ——————————————-   Sahihi    ——————————   Tarehe ———-

Gharama nyingine muhimu

  • Kitambulisho cha Chuo Tshs. 10,000 / = (ililipwa kabla ya kuanza masomo)
  • T-shirt Tshs. 15,000 / = (italipwa kabla ya kuanza masomo)
  • Enrollment forms for all courses are only ten thousand shillings (20,000 / =).
  • Kwa habari zaidi fika ofisini au piga simu kwenye matawi yetu kwa nambari zifuatazo za simu:
  • Tegeta kibaoni, tupo kwenye jengo karibu na kituo cha mafuta cha PETRO simu namba 0766 097 249 au 0657 373 732
  • Ukonga Banana jengo lenye benki ya CRDB namba ya kwanza ya simu 0754 930 949 au 0719 707 798
  • Mbagala rangitatu jengo lenye benki ya ACB ghorofa ya pili tunapakana na kituo cha daladala mbagala rangitatu namba ya simu 0767974 377 au 0675 388 185
  • Magomeni kagera mkabala na kituo cha mafuta cha Oil -com ghorofa ya pili namba ya simu 0769 410 073 au 0719 925 164
  • Mbezi luis fuata barabara iendayo makabe utaona bango letu namba 0755 227 925 au 0676 866 833
  • Kariakoo Jengo la CCM mkoa wa Dar es salaam ghorofa ya nane (8) simu 0753 999 609 au 0719 925 165