CHUO CHA AMAZON

MBAGALA CAMPUS

S.L.P 55832, Mawasiliano: Ofisi. 0675388185 / 0767974377 Mkurugenzi 0655-030050/ 0755-030050

DAR ES SALAAM-TANZANIA

FOMU YA MAELEZO YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA COMPUTER 2023

(LIPA  ADA KIDOGO KIDOGO KILA PROGRAM).

JINA LA MWOMBAJI/MWANAFUNZI………………………………………………………………………………………………

Chuo cha The Amazon College- Campus ya Mbagala Rangitatu, Kimesajiliwa na mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET) na kuruhusiwa kutoana kuendesha   mafunzo ya TEHAMA Computer.

The Green International College, inakualika kujiungana chuo chetu katika kozi ya Computer in Application (Microsoft Office Package I )      Computer in Application (Microsoft Office Package II)      Computer in Graphics design        Computer in Accounting Package   Chaguakozi (Program) unayohitajikwakuwekaalamapanapostahili

 1. Certificate in Computer Application  (Microsoft Office Package I )

  (Hapa Ada yote italipwa kabla ya kuanza masomo)  

KOZIADA/GHARAMAPROGRAM ZITAKAZO FUNDISHWAMUDA
Certificate in Computer Application  (Microsoft Office Package  )     260,000/=1-Introduction to ComputerMiezi Mitatu
Application fee10,000/=2-Ms. word 
  3-Ms. Excel 
  4-Ms. Access 
  5-Ms. Power point 
  6-Ms. Publisher 
  7-Iternet& E – mail 
Jumla270,000/=  

Ada yote ilipwe Mapema kabla ya kuanza masomo.

 • Certificate in Computer Application (Microsoft Office Package II) Cheti kitatolewa kwa atakayesoma Programs 7 Ukiondoa TYPING SPEED

(Hapa utalipa Ada kidogokidogo kila program)  

 PROGRAMSMUDA WA KOZIADAULIPAJI WA ADA
1.Introduction to ComputerWiki mbili (2 weeks)50,000/=Pamoja na Ada ya Usajili wa Mwanafunzi.Hapa unaruhusiwa kulipa Ada kidogokidogo kwa kila program kabla ya kuanza masomo    
2.Ms. wordWiki mbili (2 weeks)40,000/=
3.Ms. ExcelWiki mbili (2 weeks)40,000/=
4Ms. AccessWiki mbili (2 weeks)40,000/=
5Ms. Power pointWiki mbili (2 weeks)40,000/=
6Ms. PublisherWiki mbili (2 weeks)50,000/=
7Iternet& E – mailWiki mbili (2 weeks)50,000/=
8Typing  SpeedWiki mbili (3 weeks)50,000/=
Sahihi ya mwanafunzi: _______________________ 

 

3; Computer in Graphics design (Adobe Packages)

1Adobe Pagemaker / Adobe in-design80,000Wiki tatu(3weeks)
2Adobe Illustrator80,000Wiki tatu(3weeks)
3Adobe photoshop80,000Wiki tatu(3weeks)

4: Computer in Accounting Package

1Tally150,000Wiki nne (4 weeks)
2Myob150,000Wiki nne (4 weeks)
3Quick book150,000Wiki nne (4 weeks)
    

CERTIFICATE IN SECRETARIAL) UHAZILI MIHULA YA MASOMO KWA MWAKA 2023

MUHULA WA 1MUHULA WA 2MUHULA WA 3MUHULA WA 4MUHULA WA 5MUHULA WA 6
09 JAN,202306 MAR,202308 MAY,202303 JULY,202311 SEPT,202306 NOV,2023
Sahihi ya mwanafunzi: _______________________ 
S/nMasomo Yanayofundishwa  kwa Stage I,II na III
1Typing speed
2Hati mkato
3Short hand
4English (Communication  skills)
5Office Practice
6Secretarial Duties
7Computer Application utasoma ukifika Stage Two (II) na Three (III)

ADA /Fees

 Stages/HatuaMudaAda
1Stage One (I)  Miezi sita (6)Tzs 700,000/=
2Stage Two (II)  Miezi sita (6)Tzs 500,000/=
3Stage Three (III)  Miezi sita (6)Tzs 400,000/=

KOZI ZA KIINGEREZA MUDA NA GHARAMA

 KoziBigginer levelIntermediate level I.Intermediate  level II.Pre-advance levelAdvance level
01Muda wa koziMiezi mitatuMiezi mitatuMiezi mitatuMiezi mitatuMiezi mitatu
02Ada/fee ukilipia kila mweziTZS 50,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 150,000/= kwa miezi mitatuTZS 50,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 150,000/= kwa miezi mitatuTZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatuTZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatuTZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatu
03Ada/fee ukilipia kwa mkupuo mmoja kabla ya kuanza masomoTZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatuTZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatuTZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatuTZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatuTZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu
03VIP 1 English Language course program Mwanafunzi atafundishwa peke yake kwa ratiba na muda anaohitaji yeye  masaa mawili kila siku  Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 200,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 200,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 200,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja
04VIP 2 English Language course program Mwanafunzi atafundishwa peke yake kwa ratiba na muda anaohitaji yeye  masaa mawili kila siku, -Atafundishwa hata siku za weekend jumamosi na jumapili na siku nyingine ambazo sio za kazi,tunaweza kukufundishia nyumbani kwa mteja.  Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 300,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 300,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 300,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja
05Application feeTzs 10,000/=Tzs 10,000/=Tzs 10,000/=Tzs 10,000/=Tzs 10,000/=

Cheti kitatolewa baada ya kumaliza masomo kila hatua

 MAHITAJI MENGINE YA MWANAFUNZI

 • Daftari moja(una nunua mwenyewe)
 • Kalamu ya wino (una nunua mwenyewe)

Mazingira ya chuo.

Chuo chetu kipo kwenye mazingira tulivu, madarasa makubwa yenye mwanga Na hewa Safi.Ni mazingira bora ya kujifunzia.Tunao walimu wenye taaluma ya kutosha kumuelisha Na wenye kiu ya mafakio ya wanafunzi wao.

Faida ya kujiunga Na kozi za Computer hapa The Amazon College

 1. Gharama zetu Ni nafuu Sana.
 2. Utafundishwa na walimu mahiri wenye uzoefu na ari kubwa ya kumuelewesha mwanafunzi
 3. Kila mwanafunzi anatumia  computer yake
 4. Madarasa yetu ni makubwa na yenye AC, hewa na mwanga wa kutosha
 5.  Baada ya kumaliza mafunzo Kwa Nadharia Na vitendo Na kufaulu mitihani yako Kwa kupata alama nzuri mhitimu atatunukiwa cheti.        

MWANAFUNZI UNAPASWA KUZINGATIAMAMBO HAYA MUHIMU.

 • Mwanafunzi utapaswa kulipa ada kupitia benki kwa akaunti ya chuo utakayopewa na mhasibu hapa ofisini na si vinginevyo
 • Mwanafunzi hakikisha unapewa risiti Kwa malipo yote utakayofanya chuoni. Kama umefanya malipo Na hukupewa risiti unawajibu WA kuidai.
 • Mwanafunzi unapaswa kuzingatia utaratibu WA kulipa ada kidogo kidogo (kabla ya kuanza program husika) Kama ulivyoelekezwa ofisini, vinginevyo utasimamishwa masomo.
 • Mwanafunzi zingatia kutunza risiti zako za malipo ya ada ni muhimu mpaka utakapohitimu na kutunukiwa cheti.
 • Mwanafunzi hakikisha unahudhuria vipindi vyote vya darasani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa Na unazingatia muda uliopangiwa Kwa kipindi chote cha masomo.
 • Mwanafunzi atakayeghairisha masomo baada ya kulipa ada Na kabla ya masomo kuanza atarudishiwa asilimia hamsini (50%) ya ada aliyolipa.  (gharama za fomu ya kujiunga hazitarudishwa) Endapo utaamua kusitisha baada ya kuanza masomo ada haitarudishwa kwa namna yoyote.
 • Mwanafunzi atasaini fomu ya sheria Na masharti ya chuo mara baada ya usajili wake kukamilika kabla ya kuanza masomo.

Cheti kitatolewa ndani ya siku Saba (7) baada ya kumaliza masomo Na hakikisha umechukua cheti chako kabla ya miezi miwili kupita baada ya hapo kutakuwa Na Tozo Yakuchelewa kuchukua cheti

 • Ni wajibu wa mwanafunzi kuhakikisha anatenga muda wa kuhudhuria mafunzo mfululizo  bila kukosa nadharia na vitendo, utaratibu wa kufidia au kuongeza siku kwa mwanafunzi asiye hudhuria mafunzo ama kurudisha ada haupo kwa namna yoyote ile ( zingatia hilo).

Baada ya kuhitimu hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya kupita miezi miwili baada ya hapo kutakuwa na TOZO kwa kuchelewa kuchukua cheti.

KIAPO CHA MWANAFUNZI.

Mimi ————————————————— nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nimeamua kwa dhati kujiunga na masomo kwa kozi ya Kompyuta (ComputerCourse)

———————————-                                          ———————————-

Sahihi                                                                                                                                     Tarehe

KIAPO CHA  MZAZI/ MLEZI.

Mimi —————————————————Mzazi /Mlezi wa……………………………… nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nina ahidi kutekeleza wajibu wangu wa kulipa Ada kwa kuzingatia mwongozo uliotolewa katika fomu hii.

———————————-                                                                  ———————————-

Sahihi   

Gharama nyingine muhimu

 • Kitambulisho cha Chuo Tshs. 10,000 / = (ililipwa kabla ya kuanza masomo)
 • T-shirt Tshs. 15,000 / = (italipwa kabla ya kuanza masomo)
 • Enrollment forms for all courses are only ten thousand shillings (20,000 / =).
 • Kwa habari zaidi fika ofisini au piga simu kwenye matawi yetu kwa nambari zifuatazo za simu:
 • Tegeta kibaoni, tupo kwenye jengo karibu na kituo cha mafuta cha PETRO simu namba 0766 097 249 au 0657 373 732
 • Ukonga Banana jengo lenye benki ya CRDB namba ya kwanza ya simu 0754 930 949 au 0719 707 798
 • Mbagala rangitatu jengo lenye benki ya ACB ghorofa ya pili tunapakana na kituo cha daladala mbagala rangitatu namba ya simu 0767974 377 au 0675 388 185
 • Magomeni kagera mkabala na kituo cha mafuta cha Oil -com ghorofa ya pili namba ya simu 0769 410 073 au 0719 925 164
 • Mbezi luis fuata barabara iendayo makabe utaona bango letu namba 0755 227 925 au 0676 866 833
 • Kariakoo Jengo la CCM mkoa wa Dar es salaam ghorofa ya nane (8) simu 0753 999 609 au 0719 925 165