MAFUNZO YA UHAZILI NA UCHAPAJI NGAZI YA CHETI
  • Mazoezi ya ofisi
  • Secretarial duties
  • Shorthand
  • Hati mkato
  • Uchapaji
  • Computer
  • Mafunzo ni ya mwaka mmoja. Ada ya masomo ni shilingi milioni moja na laki nne tu (1,400,000 / =). Italipwa kwa utaratibu ufuatao:
  • SEMISTER YAKWANZA (miezi6) Ada Tzs 700,000/= Laki saba
  • AWAMU YA KWANZA miezi mitatu TZS 350,000
  • Unapoanza masomo isipungue TZS 200,000/=
  • Mwezi wa tatu wa masomo kabla ya mitihani ya nusu semester Lipa TZS 150,000/=
  • AWAMU YA PILI miezi mitatu Tzs 350,000/=
  • Mwezi wa tatu wa masomo kabla ya mitihani ya nusu semester Lipa TZS 150,000/=
  • SEMISTER YA PILI ( Miezi 6) Ada Tzs 700,000/= Laki saba
  • AWAMU YA KWANZA miezi mitatu TZS 350,000
  • Unapoanza masomo isipungue TZS 200,000/=
  • Mwezi wa tatu wa masomo kabla ya mitihani ya nusu semester Lipa TZS 150,000/=
  • AWAMU YA PILI miezi mitatu Tzs 350,000/=
  • Mwezi wa tatu wa masomo kabla ya mitihani ya nusu semester Lipa TZS 150,000/=

  Gharama nyingine muhimu

  • Kitambulisho cha Chuo Tshs. 10,000 / = (ililipwa kabla ya kuanza masomo)
  • T-shirt Tshs. 15,000 / = (italipwa kabla ya kuanza masomo)
  • Fomu za kujiandikisha kwa kozi zote ni shilingi elfu kumi tu (10,000 / =).
  • Kwa habari zaidi fika ofisini au piga simu kwenye matawi yetu kwa nambari zifuatazo za simu:
  • Tegeta kibaoni, tupo kwenye jengo karibu na kituo cha mafuta cha PETRO simu namba 0766 097 249 au 0657 373 732
  • Ukonga Banana jengo lenye benki ya CRDB namba ya kwanza ya simu 0754 930 949 au 0719 707 798
  • Mbagala rangitatu jengo lenye benki ya ACB ghorofa ya pili tunapakana na kituo cha daladala mbagala rangitatu namba ya simu 0767974 377 au 0675 388 185
  • Magomeni kagera mkabala na kituo cha mafuta cha Oil -com ghorofa ya pili namba ya simu 0769 410 073 au 0719 925 164
  • Mbezi luis fuata barabara iendayo makabe utaona bango letu namba 0755 227 925 au 0676 866 833
  • Kariakoo Jengo la CCM mkoa wa Dar es salaam ghorofa ya nane (8) simu 0753 999 609 au 0719 925 165