CHUO CHA AMAZON
CAMPUS YA MBEZI LUIS
S.L.P 55832, Mawasiliano: Ofisi. 0676-866833 /0755-227925 Mkurugenzi 0655-030050/ 0755-030050
DAR ES SALAAM-TANZANIA
FOMU YA MAELEZO YA KUJIUNGA NA KOZI YA KIINGEREZA 2022/2023.
(LIPA ADA KIDOGO KIDOGO KILA MWEZI).
JINA LA MWANAFUNZI/MUOMBAJI…………………………………………
Chuo cha The Amazon College- Campus ya Mbezi, Kimesajiliwa na mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVETA) na kuruhusiwa kutoana kuendesha mafunzo ya TEHAMA na Lugha
Chuo cha Amazon inakualika kujiunga na chuo chetu katika kozi ya Kiingereza (English course) cha kuandika na kuongea. Tunahakikisha unapata uwezo mzuri wa kuongea na kuandika kiingereza bila shida.
MAZINGIRA YA CHUO.
Chuo chetu kipo kwenye mazingira tulivu, madarasa makubwa yenye mwanga na hewa safi. Ni mazingira bora ya kujifunzia. Tunao walimu wenye taaluma ya kutosha kumuelisha na wenye kiu ya mafakio ya wanafunzi wao.
KOZI ZA KIINGEREZA MUDA NA GHARAMA ZAKE
Kozi | Bigginer level | Intermediate level I. | Intermediate level II. | Pre-advance level | Advance level | |
01 | Muda wa kozi | Miezi mitatu | Miezi mitatu | Miezi mitatu | Miezi mitatu | Miezi mitatu |
02 | Ada/fee ukilipia kila mwezi | TZS 50,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 150,000/= kwa miezi mitatu | TZS 50,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 150,000/= kwa miezi mitatu | TZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatu | TZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatu | TZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatu |
03 | Ada/fee ukilipia kwa mkupuo mmoja kabla ya kuanza masomo | TZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu | TZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu | TZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu | TZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu | TZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu |
03 | VIP 1 English Language course program Mwanafunzi atafundishwa peke yake kwa ratiba na muda anaohitaji yeye masaa mawili kila siku | Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja |
04 | VIP 2 English Language course program Mwanafunzi atafundishwa peke yake kwa ratiba na muda anaohitaji yeye masaa mawili kila siku, -Atafundishwa hata siku za weekend jumamosi na jumapili na siku nyingine ambazo sio za kazi,tunaweza kukufundishia nyumbani kwa mteja. | Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja | Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja |
05 | Application fee | Tzs 10,000/= | Tzs 10,000/= | Tzs 10,000/= | Tzs 10,000/= | Tzs 10,000/= |
Cheti kitatolewa baada ya kumaliza masomo kila hatua
FAIDA YA KUJIUNGA NA KOZI ZA KIINGEREZA (ENGLISH COURSE) HAPA THE AMAZON COLLEGES (T) LIMITED CAMPUS YA K/KOO
- Gharama zetu ni nafuu sana ukilinganisha na huduma utakayoipata.
- Utafundishwa na walimu mahiri wenye uzoefu na ari kubwa ya kumuelewesha mwanafunzi.
- Madarasa yetu ni makubwa na yenye hewa na mwanga wa kutosha.
- Baada ya kumaliza mafunzo ya miezi sita na kufaulu mitihani yako kwa kupata alama nzuri mhitimu atatunukiwa cheti.
MWANACHUO UNAPASWA KUZINGATIAMAMBO HAYA MUHIMU.
- Mwanafunzi utapaswa kulipa ada kupitia benki kwa akaunti ya chuo utakayopewa na mhasibu hapa ofisini na si vinginevyo
- Mwanafunzi hakikisha unapewa risiti kwa malipo yote utakayofanya chuoni. Kama umefanya malipo na hukupewa risiti unawajibu wa kuidai.
- Mwanachuo unapaswa kuzingatia utaratibu wa kulipa ada yote (kabla ya kuanza program husika) kama ulivyoelekezwa ofisini, vinginevyo utasimamishwa masomo.
- Mwanachuo zingatia kutunza risiti zako za malipo ya ada ni muhimu mpaka utakapohitimu na kutunukiwa cheti.
- Mwanachuo hakikisha unahudhuria vipindi vyote vya darasani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa na unazingatia muda uliopangiwa kwa kipindi chote cha masomo.
- Mwanachuo atakayeghairisha masomo baada ya kulipa ada na kabla ya masomo kuanza atarudishiwa asilimia hamsini (50%) ya ada aliyolipa. (gharama za fomu ya kujiunga hazitarudishwa) Endapo utaamua kusitisha baada ya kuanza masomo ada haitarudishwa kwa namna yoyote.
- Mwanachuo atasaini fomu ya sheria na masharti ya chuo mara baada ya usajili wake kukamilika kabla ya kuanza masomo.
Baada ya kuhitimu hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya kupita miezi miwili baada ya hapo kutakuwa na TOZO kwa kuchelewa kuchukua cheti.
KIAPO CHA MWANAFUNZI.
Mimi ————————————————— nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nimeamua kwa dhati kujiunga na masomo kwa kozi ya Kingereza (EnglishCourse)
———————————- ———————————-
Sahihi Tarehe
KIAPO CHA MZAZI/ MLEZI.
Mimi —————————————————Mzazi /Mlezi wa……………………………… nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nina ahidi kutekeleza wajibu wangu wa kulipa Ada kwa kuzingatia mwongozo uliotolewa katika fomu hii.
———————————- ———————————-
Sahihi Tarehe
(kwa matumizi ya ofisi)
Jina la mpokeaji form ( mkuu wa chuo)au kwa niaba
Jina ——————————————- Sahihi —————————— Tarehe ———-
Gharama nyingine muhimu
- Kitambulisho cha Chuo Tshs. 10,000 / = (ililipwa kabla ya kuanza masomo)
- T-shirt Tshs. 15,000 / = (italipwa kabla ya kuanza masomo)
- Enrollment forms for all courses are only ten thousand shillings (20,000 / =).
- Kwa habari zaidi fika ofisini au piga simu kwenye matawi yetu kwa nambari zifuatazo za simu:
- Tegeta kibaoni, tupo kwenye jengo karibu na kituo cha mafuta cha PETRO simu namba 0766 097 249 au 0657 373 732
- Ukonga Banana jengo lenye benki ya CRDB namba ya kwanza ya simu 0754 930 949 au 0719 707 798
- Mbagala rangitatu jengo lenye benki ya ACB ghorofa ya pili tunapakana na kituo cha daladala mbagala rangitatu namba ya simu 0767974 377 au 0675 388 185
- Magomeni kagera mkabala na kituo cha mafuta cha Oil -com ghorofa ya pili namba ya simu 0769 410 073 au 0719 925 164
- Mbezi luis fuata barabara iendayo makabe utaona bango letu namba 0755 227 925 au 0676 866 833
- Kariakoo Jengo la CCM mkoa wa Dar es salaam ghorofa ya nane (8) simu 0753 999 609 au 0719 925 165