KOZI YA KIINGEREZA CHA KUONGEA NA KUANDIKA NGAZI YA CHETI
Ada ni shilingi laki moja (100,000) kwa hatua. Ada hulipwa kamili kabla mwanafunzi hajaanza masomo yake
Gharama nyingine muhimu
Kitambulisho cha Chuo Tshs. 10,000 / = (ililipwa kabla ya kuanza masomo)
T-shirt Tshs. 15,000 / = (italipwa kabla ya kuanza masomo)
Fomu za kujiandikisha kwa kozi zote ni shilingi elfu kumi tu (10,000 / =).
Kwa habari zaidi fika ofisini au piga simu kwenye matawi yetu kwa nambari zifuatazo za simu:
Tegeta kibaoni, tupo kwenye jengo karibu na kituo cha mafuta cha PETRO simu namba 0766 097 249 au 0657 373 732
Ukonga Banana jengo lenye benki ya CRDB namba ya kwanza ya simu 0754 930 949 au 0719 707 798
Mbagala rangitatu jengo lenye benki ya ACB ghorofa ya pili tunapakana na kituo cha daladala mbagala rangitatu namba ya simu 0767974 377 au 0675 388 185
Magomeni kagera mkabala na kituo cha mafuta cha Oil -com ghorofa ya pili namba ya simu 0769 410 073 au 0719 925 164
Mbezi luis fuata barabara iendayo makabe utaona bango letu namba 0755 227 925 au 0676 866 833
Kariakoo Jengo la CCM mkoa wa Dar es salaam ghorofa ya nane (8) simu 0753 999 609 au 0719 925 165