THE AMAZON COLLEGE (T) LTD

CAMPUS YA TEGETA

P.o.Box 55832, Contact: Office. 0766-097249 /0657-373732 Director 0655-030050/ 0755-030050

DAR ES SALAAM-TANZANIA

FOMU YA MAELEZO YA  KUJIUNGA NA KOZI YA  KIINGEREZA 2022/2023.

                (LIPA  ADA KIDOGO KIDOGO KILA MWEZI).

JINA LA MWANAFUNZI/MUOMBAJI…………………………………………

Chuo cha The Amazon College- Campus ya Tegeta , Kimesajiliwa na mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVETA) na kuruhusiwa kutoana kuendesha   mafunzo ya TEHAMA na Lugha

The Amazon College inakualika kujiunga na chuo chetu katika kozi ya Kiingereza (English course) cha kuandika na kuongea. Tunahakikisha unapata uwezo mzuri wa kuongea na kuandika kiingereza bila shida.

MAZINGIRA YA CHUO.

Chuo chetu kipo kwenye mazingira tulivu, madarasa makubwa yenye mwanga na hewa safi. Ni mazingira bora ya kujifunzia. Tunao walimu wenye taaluma ya kutosha kumuelisha na wenye kiu ya mafakio ya wanafunzi wao.

KOZI ZA KIINGEREZA MUDA NA GHARAMA ZAKE

 KoziBigginer levelIntermediate level I.Intermediate  level II.Pre-advance levelAdvance level
01Muda wa koziMiezi mitatuMiezi mitatuMiezi mitatuMiezi mitatuMiezi mitatu
02Ada/fee ukilipia kila mweziTZS 50,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 150,000/= kwa miezi mitatuTZS 50,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 150,000/= kwa miezi mitatuTZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatuTZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatuTZS 40,000/= kwa kila mwezi = na Tzs 120,000/= kwa miezi mitatu
03Ada/fee ukilipia kwa mkupuo mmoja kabla ya kuanza masomoTZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatuTZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatuTZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatuTZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatuTZS 100,000/= Kwa miezi yote mitatu
03VIP 1 English Language course program Mwanafunzi atafundishwa peke yake kwa ratiba na muda anaohitaji yeye  masaa mawili kila siku  Tzs 200,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 200,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 200,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 200,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 200,000/= Kwa mwezi mmoja
04VIP 2 English Language course program Mwanafunzi atafundishwa peke yake kwa ratiba na muda anaohitaji yeye  masaa mawili kila siku, -Atafundishwa hata siku za weekend jumamosi na jumapili na siku nyingine ambazo sio za kazi,tunaweza kukufundishia nyumbani kwa mteja.  Tzs 300,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 300,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 300,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 300,000/= Kwa mwezi mmojaTzs 300,000/= Kwa mwezi mmoja
05Application feeTzs 10,000/=Tzs 10,000/=Tzs 10,000/=Tzs 10,000/=Tzs 10,000/=

Cheti kitatolewa baada ya kumaliza masomo kila hatua

FAIDA YA KUJIUNGA NA KOZI ZA KIINGEREZA (ENGLISH COURSE) HAPA THE AMAZON COLLEGES (T) LIMITED CAMPUS YA K/KOO
 1. Gharama zetu ni nafuu sana ukilinganisha na huduma utakayoipata.
 2. Utafundishwa na walimu mahiri wenye uzoefu na ari kubwa ya kumuelewesha mwanafunzi.
 3. Madarasa yetu ni makubwa na yenye hewa na mwanga wa kutosha.
 4.  Baada ya kumaliza mafunzo ya miezi sita  na kufaulu mitihani yako kwa kupata alama nzuri mhitimu atatunukiwa cheti.

MWANACHUO UNAPASWA  KUZINGATIAMAMBO HAYA MUHIMU.

 • Mwanafunzi utapaswa kulipa ada kupitia benki kwa akaunti ya chuo utakayopewa na mhasibu hapa ofisini na si vinginevyo
 •  Mwanafunzi hakikisha unapewa risiti kwa malipo yote utakayofanya chuoni. Kama umefanya malipo na hukupewa risiti unawajibu wa kuidai.
 • Mwanachuo unapaswa kuzingatia utaratibu wa kulipa ada yote  (kabla ya kuanza program husika) kama ulivyoelekezwa ofisini, vinginevyo utasimamishwa masomo.
 • Mwanachuo zingatia kutunza risiti zako za malipo ya ada ni muhimu mpaka utakapohitimu na kutunukiwa cheti.
 • Mwanachuo hakikisha unahudhuria vipindi vyote vya darasani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa na unazingatia muda uliopangiwa kwa kipindi chote cha masomo.
 • Mwanachuo atakayeghairisha masomo baada ya kulipa ada na kabla ya masomo kuanza atarudishiwa asilimia hamsini (50%) ya ada aliyolipa.  (gharama za fomu ya kujiunga hazitarudishwa) Endapo utaamua kusitisha baada ya kuanza masomo ada haitarudishwa kwa namna yoyote.
 • Mwanachuo atasaini fomu ya sheria na masharti ya chuo mara baada ya usajili wake kukamilika kabla ya kuanza masomo.

Baada ya kuhitimu hakikisha unachukua cheti chako mapema kabla ya kupita miezi miwili baada ya hapo kutakuwa na TOZO kwa kuchelewa kuchukua cheti.

KIAPO CHA MWANAFUNZI.

Mimi ————————————————— nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nimeamua kwa dhati kujiunga na masomo kwa kozi ya Kingereza (EnglishCourse)

———————————-                                          ———————————-

Sahihi                                                                                                 Tarehe

KIAPO CHA  MZAZI/ MLEZI.

Mimi —————————————————Mzazi /Mlezi wa……………………………… nimesoma na kuelewa maelezo yaliyotolewa hapo juu na nina ahidi kutekeleza wajibu wangu wa kulipa Ada kwa kuzingatia mwongozo uliotolewa katika fomu hii.

———————————-                                          ———————————-

Sahihi                                                                                                 Tarehe

(kwa matumizi ya ofisi)

Jina la mpokeaji form ( mkuu wa chuo)au kwa niaba

Jina ——————————————-   Sahihi    ——————————   Tarehe ———-

Other important costs
 • College ID Tshs. 10,000 / = (paid before starting studies)
 • T-shirt Tshs. 15,000 / = (paid before starting studies)
 • Enrollment forms for all courses are only ten thousand shillings (20,000 / =).
 • For more information get to the office or call our branches at the following telephone numbers:
 • Tegeta kibaoni, we are in a building near PETRO petrol station phone number 0766 097 249 or 0657 373 732
 • Ukonga Banana building with CRDB bank first floor phone number 0754 930 949 or 0719 707 798
 • Mbagala rangitatu building with ACB bank on the second floor we are facing the daladala mbagala rangitatu station phone number 0767974 377 or 0675 388 185
 • Magomeni kagera opposite Oil-com fuel station second floor phone number 0769 410 073 or 0719 925 164
 • Mbezi luis follow the road leading to makabe you will see our poster phone number 0755 227 925 or 0676 866 833
 • Kariakoo Lumumba building CCM Dar es salaam region eighth floor (8) phone number 0753 999 609 or 0719 925 165