-Hii ni kozi ya Mwaka Mmoja (1)

-Darasani  Miezi saba 8

-Field Miezi Minne 4

ADA  NA MALIPO MENGINEYO

Ada ya masomo Tzs 800,000/= Laki Nane tu.

UTARATIBU     WA   KULIPA   ADA:

MUHULA WA KWANZA

N/AMAELEZOMALIPO
01KIANZIO/MWEZI WA KWANZA KUANZA MASOMO 
 Ada/Tuition FeeTZS 100,000/=
 Application  FeeTZS 20,000/=
 T- shirt         TZS 87,000/=
 Kitambulisho cha Mwanafunzi
              Shati  pc 1
              Kizibao na Neck Tai  pc 1
              Sketi  au  suruali  pc1
 JUMLA YA MALIPO MWEZI WA KUANZA MASOMOTZS 207,000/=
02.Mwezi wa pili wa Masomo    TZS 140,000/=
03Mwezi wa Tatu wa Masomo TZS 140,000/=
 JUMLA YA ADA MUHULA WA KWANZATZS 487,000/=
 MUHULA WA  PILI                                                    
04Mwezi wa Nne wa Masomo  TZS 140,000/=
05Mwezi wa Tano  wa Masomo TZS 140,000/=
06Mwezi wa  Sita  wa Masomo  TZS 140,000/=
JUMLA YA ADA MUHULA WA PILITZS  420,000/=

`              

-Ada yote inatakiwa kulipwa ndani ya kipindi cha miezi sita (6) kabla ya mitihani ya Muhula wa pili na kabla ya kwenda field.

-Kutakuwa na gharama za Field ambayo ni Tzs 50,000/= Italipwa kabla ya kuanza field

 Mwanafunzi anatakiwa kuandaa vifaa vifuatavyo

  • Madaftari ya kutosha kwa masomo sita
  • Kalamu za wino (Blue)
  • Viatu vyeusi visiwe na kisigino kirefu
  • Soksi nyeusi kwa wavulana na nyeupe kwa wasichana
Azania street near Tan oil station (2nd floor)

Reception: 0657-373732

                     0766-097249

 Principal:  0746-905143

ACB bank building (2nd floor)opposite mbagala rangi tatu bus stand.

Reception: 0675-388185

                    0767-974377

Principal: 0746-898763

Makumbusho Complex building (3rd Floor).

Reception: 0719-925164

                      0769410073

Principal : 0743-081031

NMB building (1st floor) near Malamba mawili bus stand

Reception: 0676-866833

                     0755-227925

 Principal: 0747-174302

Crdb building (2nd floor).

Reception: 0719-707798

                      0754-930949

 Principal: 0743-249441

Njuweni hotel(3rd floor)

Reception: 0719-925163

                   0677- 054608

Lumumba street,Ccm mkoa (3rd floor)

Contact:0675-291289